Una 💰 kias gani?Nataka kuweka rekodi ya kipekeeya kuwa mtanzania kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.
Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.
NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.
View attachment 2455839
Umeona alivoshika kisu? Hapo amemaanisha kuwa nawewe ni kitoweo tu.
Ben Paul na Yule X wife wake pia.Kina Diamond na familia washakula hapo na watz wengine
Weka picha tukuaminiKina Diamond na familia washakula hapo na watz wengine
Beef tu hilo ndo tatizo angeenda mbali na kuchoma mnyama ingekuwa poa.Huwa anachoma mnyama gani?
Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.
Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.
NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.
View attachment 2455839
SiaminiMkuu ukisema mtanzania sijui ila kuna video inamuonyesha ben pol akiwa kwa jamaa hapo nae anandaliwa nyama kwa mbwembwe zote😅 labda useme uwe miongoni wa Watanzania
Kipindi hicho akiwa na yule Rich wife..Mkuu ukisema mtanzania sijui ila kuna video inamuonyesha ben pol akiwa kwa jamaa hapo nae anandaliwa nyama kwa mbwembwe zote[emoji28] labda useme uwe miongoni wa Watanzania
Nadhani kitu kama hichoKipindi hicho akiwa na yule Rich wife..
Sahii sijui[emoji2]
Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..
Uko na mzigo wakutosha(Mula)
Kingine...Nikujuze tu..unaweza kwenda hapo na Salt bae usimuone..hata kivuli chake usikione[emoji28]Ukaudumiwa kawaida na Wahudumu wake...
Salt bae kukuhudumia ana package yake