Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.

Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.

NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.

vllkyt75htr5fkhe.b7869f3a.jpg
 
Nataka kuweka rekodi ya kipekeeya kuwa mtanzania kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.

Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.

NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.

View attachment 2455839
Una 💰 kias gani?
 
Nataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.

Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.

NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.

View attachment 2455839
Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..
Uko na mzigo wakutosha(Mula)

Kingine...Nikujuze tu..unaweza kwenda hapo na Salt bae usimuone..hata kivuli chake usikione[emoji28]Ukaudumiwa kawaida na Wahudumu wake...

Salt bae kukuhudumia ana package yake
 
Mkuu ukisema mtanzania sijui ila kuna video inamuonyesha ben pol akiwa kwa jamaa hapo nae anandaliwa nyama kwa mbwembwe zote😅 labda useme uwe miongoni wa Watanzania
Siamini
 
Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..
Uko na mzigo wakutosha(Mula)

Kingine...Nikujuze tu..unaweza kwenda hapo na Salt bae usimuone..hata kivuli chake usikione[emoji28]Ukaudumiwa kawaida na Wahudumu wake...

Salt bae kukuhudumia ana package yake
Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
 
Back
Top Bottom