Nataka kuwa Mtanzania wa kwanza kula nyama kwa Salt Bae

Watu tumekula nyama kwake miaka mitatu iiopita
 
Presha Iniue kwa vitu siyo vyangu?
Na zaidi sana kwa mtu hata simjui?
Si itakuwa wehu sasa...

Hebu weka hapa hizo FS na BS Mkuu.
Okay subiri kwanza nishauriane na jopo la wanasheria wangu pamoja na financial advisors wangu halafu nitarudi
 
Mkuu hebu weka ili ajue wewe ni kusema nini.
Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
 
🤣🤣🤣🤣
 
Haji Manara na wakeze alikua nae juzi tu hapo hamna jipya. dola 100 unakula nyama yake na haina maajabu ni beef inachomwa tu na kuwekwa chumvi simple km mango garden
 
Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..
Uko na mzigo wakutosha(Mula)

Kingine...Nikujuze tu..unaweza kwenda hapo na Salt bae usimuone..hata kivuli chake usikione[emoji28]Ukaudumiwa kawaida na Wahudumu wake...

Salt bae kukuhudumia ana package yake
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…