Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka Mkuu...Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
Naogopa utaanguka kwa presha bure wakati wewe ni mshindi pekee wa mkate sole bread winner kwenye ukoo wenuWeka Mkuu...
Nataka kuwa Inspired na vitu kama hivyo.
Watu tumekula nyama kwake miaka mitatu iiopitaNataka kuweka rekodi ya kipekee ya kuwa mtanzania wa kwanza kula nyama choma kwa mchoma nyama maarufu duniani mturuki Salt Bae.
Hii ni fursa ya kipekee ya kuitangaza taifa letu kimataifa. Nataka kuungana na watu maarufu duniani ambao walipata hii fursa ya kipekee na adim kula nyama choma kutoka kwa huyu mturuki mwenye mbwembwe ya aiana yake akiwemo Hushpuppi.
NAAM MIMI NI MTU KATI YA WATU WALIOISHI NA WATU NA WALIOONA WATU.
View attachment 2455839
Presha Iniue kwa vitu siyo vyangu?Naogopa utaanguka kwa presha bure wakati wewe ni mshindi pekee wa mkate sole bread winner kwenye ukoo wenu
Weka picha huku umeshikilia iyo picha kwa selfie tukuaminiWatu tumekula nyama kwake miaka mitatu iiopita
Hata kina esmaBen Paul na Yule X wife wake pia.
Okay subiri kwanza nishauriane na jopo la wanasheria wangu pamoja na financial advisors wangu halafu nitarudiPresha Iniue kwa vitu siyo vyangu?
Na zaidi sana kwa mtu hata simjui?
Si itakuwa wehu sasa...
Hebu weka hapa hizo FS na BS Mkuu.
Waiting...Okay subiri kwanza nishauriane na jopo la wanasheria wangu pamoja na financial advisors wangu halafu nitarudi
Wabongo bana ving'ang'aniziWaiting...
Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
Naogopa utaanguka kwa presha bure wakati wewe ni mshindi pekee wa mkate sole bread winner kwenye ukoo wenu
🤣🤣🤣🤣Hivi unanichukuliaje? Niweke hapa hadharani bank statement zangu za Deutsch bank, swiss credit, swiss bank, HSBC? Nikuwekee financial statements zangu za offshores ma tax haven huko monaco, panama, Bahamas, Jersey na Virgin islands?
😁😁Nikuumilize... Si kwa ubaya lakini..
Uko na mzigo wakutosha(Mula)
Kingine...Nikujuze tu..unaweza kwenda hapo na Salt bae usimuone..hata kivuli chake usikione[emoji28]Ukaudumiwa kawaida na Wahudumu wake...
Salt bae kukuhudumia ana package yake
Unataka Kumanisha nini??Mkuu hebu weka ili ajue wewe ni kusema nini.