Mwanamke- Mke ni kitu Gani kikubwa ana kitoa kwa Mume wake zaidi ya Ngono
Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa
"Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye viwanja. Shogangu, wewe una nini?"Tanzanian preacher Rose Shaboka challenges women during a sermon.
"Wengine vitu walivyonavyo ni wanja, lipstick na powder; anataka mwenzie mwenye magari, viwanja na nyumba. Kavitoa wapi huko ambako wewe huwezi kwenda kuvitafuta?"
"Ukimpata mwanaume ambaye ana mahusiano mazuri na Mungu, huyo ni benki ya upendo. A man who does not love God cannot love you. Magari na majumba ni muhimu lakini sio priority," the preacher added.