Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Tupe darasa mkuu kwa njia ya kumeditate unapataje ladha za juu ya bangi
Mkuu unapovuta dawa kinachofanyika ni kucalm your mind hivyo unaraise ur vibration ndo maana wadau wanadai unagoo high, lakn njia km meditation kadri utakavokua unanda deep ktk meditation unaenda high kuzidi hata level ya stimulation ya dawa. Meditation ni somo pana sana ila kuna wakuu humu jamvini hua wanalielezea vizuri sana, mfano pitia nyuzi za Mshana Jr
 
Mi nlivita non stop kila siku miaka 5 ila nlikuja acha siku moja tu bila kujiandaa kama wewe...nilikaa miaka 2 mbele sijawahi hata kusikia harufu ya moshi
1.Kikubwa pata shughuli yakukupa ubize...
2.badilisha mazingira kabisa na marafiki...mimi nilifanikiwa nilipata masela wapya wanaopenda mademu ila nilishindwa kuiga hii kwasababu inahitaji process na ni gharama ikanifanya nisahau kabisa moshi
 
hiyo meditation ndo inakuaje mkuu [emoji3166] nijuz tafadhali
 
Miaka mingi ilopita pana brother wangu alinambia ukiwa unavuta bhangi ukifika miaka 50 bado unavuta inakuwa ngumu kuacha nimekuja kuamini haya nina rafiki zangu wanne wa utotoni tumegota 50 na hawana mpango wa kuacha mimi sijawahi kuvuta kitu hicho
 
Miaka mitatu Bado michache Sana tuendelee kodogo mkuu
 
Nashukuru. Ila ishu iyo ni psychological issue hata humu wa2 wanatoa ushaur mzur koz nia ya moyo inajua nin inataka
 
Mimi kuna Ndugu yangu kawa Chizi kabisa, hata asipovuta haeleweki, kuna siku kaenda mpaka Mikese kwa miguu.
 
I agree.
Hata mimi kuna kitu najitahidi kuacha lakini ikifika muda nahisi kukihitaji nateseka sana kujizuia nasema tu leo mwisho. Ila ni mateso sana kuacha kitu ulichozoea.
Sio kula chocolate kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…