Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Hahaaa ashindwe mwenyewe...
 
Mimi nataka nianze kuvuta bangi...! Pombe imekaa kimama sana
 
Mkuu nakusihi uwe makini na hao utakaokuwa nao wakati wa kunywa pombe,,
Wasije wakakuumiza sehem za siri..
 
Bavaria sio pombe mkuu na soda ya kiwango kingine.

Kunywa Baltika uzoee ile ladha then unakuja kunywa Serengeti lite.

Angalizo: Baltika pia sio pombe
We hujui pombe kaa kimya!! Bavaria 8.6 ni pombe moja matata
 
kunywa konyagi, au kitoko kesho utupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…