Usibadili na jinsiaMzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3. Mnywa Visungura wa Jf
4. Pacha wake loose Nut
4. Smooth Criminal
5. Pirate of the Pirates
6. GhayoNyahu
7.Hensamu wa Jf
Jina gani kati ya hayo nitumia na lina unyama mwingi ?
Na wewe una lolote lingine unaloliona litanifaa ?
Nalifanyia upembuzi yakinifu 😎.Nimelikubali litakaa unyama sana , nasubiri manager wangu Seran alipitishe pamoja na mshauri wangu secretarybird
Au jiite 'DOLE LA KATI' a.k.a Dole La Ngabu.Hii ni ngori mkuu 🤣 🙌 ☝️😆
Nadhani ukijiiita CHIZI LA SAMIA itapendezaMzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3. Mnywa Visungura wa Jf
4. Pacha wake loose Nut
4. Smooth Criminal
5. Pirate of the Pirates
6. GhayoNyahu
7.Hensamu wa Jf
Jina gani kati ya hayo nitumia na lina unyama mwingi ?
Na wewe una lolote lingine unaloliona litanifaa ?
Hahhaa loose balls unyama!Nimelikubali litakaa unyama sana , nasubiri manager wangu Seran alipitishe pamoja na mshauri wangu secretarybird
PoleHilo Kuna member tayari anatumia Mbwa dume
Vipi nikitumia jina la mnywaVisungura hapo mnywa Visungura wa Jf si ataMind ?Nalifanyia upembuzi yakinifu 😎.
Lazima atamind maana utakuwa umechukua cheo chake kwa nguvu.Vipi nikitumia jina la mnywaVisungura hapo mnywa Visungura wa Jf si ataMind ?
Unamjua kwanza mnywaVisungura ni nani ?Lazima atamind maana utakuwa umechukua cheo chake kwa nguvu.
Jiite N de AMzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3. Mnywa Visungura wa Jf
4. Pacha wake loose Nut
4. Smooth Criminal
5. Pirate of the Pirates
6. GhayoNyahu
7.Hensamu wa Jf
Jina gani kati ya hayo nitumia na lina unyama mwingi ?
Na wewe una lolote lingine unaloliona litanifaa ?
😆😆Hahahaha unamaanisha Nyau de adriz mkuu ?
Black or White au Man in the MirrorThriller itapendeza zaidi
Smooth CriminalSmooth criminal