Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Wema si amezaaKivipi?
Wema si amezaaKivipi?
😂, Sasa nimeelewa.Wema si amezaa
Au,Jiite
1. Ngome ya ngungi wa Thion'go
2. Chinua Achebe Kachanua
3. Okwonko Kaokota kokwa
SecretaryBird Anaserereka QumaniAu,
1. Ng'wanamalundi kawehuka.
2. Eric Shigogo anakunywa gongo.
3. Steven Wasira hana Siri.
4. Kikwete kapwelepwetwa na viatu.
Hili ☝️ jina ni zuri sana.SecretaryBird Anaserereka Qumani
Remmy alinena kiutu uzima.Remmy hakukosea
Au huyu jamaa aitwe Remmy OngalaRemmy alinena kiutu uzima.
Hapana, huyu ataharibu CV ya Dr Remmy.Au huyu jamaa aitwe Remmy Ongala
Kwa niniHapana, huyu ataharibu CV ya Dr Remmy.
Kuna yule 'Nikifa Mke Wangu Asiolewe' 😄Majina ya jf ni interesting sana sijui watu waliwaza nini wanavojiita.
Dr Remmy si mnywa visungura bhana 😂.Kwa nini
Kwa hiyo ataharibiwa brandDr Remmy si mnywa visungura bhana 😂.
Kabisa.Kwa hiyo ataharibiwa brand
Noma mzeeKuna yule 'Nikifa Mke Wangu Asiolewe' 😄
Mange KimambiMzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3. Mnywa Visungura wa Jf
4. Pacha wake loose Nut
4. Smooth Criminal
5. Pirate of the Pirates
6. GhayoNyahu
7.Hensamu wa Jf
Jina gani kati ya hayo nitumia na lina unyama mwingi ?
Na wewe una lolote lingine unaloliona litanifaa ?
No. 3Mzuka wana jamvi ?