Nataka nifunge camera chumbani kwa kijana wangu! Nina wasiwasi anafanya vitu visivyofaa

Hapo utakua unaingilia privacy yake... Cha msingi tumia mbinu nyingine za kumchunguza ikiwemo kumuhoji...

Kama wasiwasi wako ni nje ya Ushoga basi achana nae
 
Kwa Dunia ya Leo ilivyoharibika, weka tu hzo camera kiongozi
Tatizo ukiligundua ni hatua ya kwanza kuuendea uponyaji✍️

Mwanao kwa umri huo anakuhitaji sana, wewe ndo umebeba hatima yake!!
Umri huo system salama ya kumuongoza n dictatorship, ukilegeza kidogo tu.... atakuja kuanzisha uzi humu akidai alianza huo uraibu akiwa na miaka 15🚶🚶

Fanya haraka upindue meza ndugu
 
kuna ndugu yangu mmoja alikuwa tiss huko, kijana wake mmoja akaanza usharobaro, mara anasuka nywele, mara vikaputura kama juma lokole, mara anaoga sana, akaona dogo kama hamwelewi kama akawa na mashaka asijekuwa upinde. alimwita, kamkalisha kamweleza tabia zake ambazo hazielewi,dogo alikataa, ila mjeda yule alimweleza kwamba kama mimi nimekuelewa sio, hamna shida, nisamehe. ila kama kweli wewe umeanza kujiingiza kwenye ujinga, unanifahamu kazi yangu,nitakupiga risasi, nitakwenda kukutupa kusikojulikana hata hakuna atakayejua umeenda wapi maisha yote.sijawahi kutoa mbegu ya kijinga mimi.

dogo aliogopa, ndani ya muda mfupi alibadilika kuanzia ongea, mavazi, tembea hadi makundi ya marafiki. hadi amekuwa mtu mzima.
 
Bahati mbaya, hata ukijua na ukachukua action thabiti, kuacha anachofanya sio maamuzi yake. Haizuiwi na ww kuwa mkali.

Sijui umenipata??? Au usihisi labda anapenda anachofanya. Ukute hujilaumu sana na kujiapiza kutorudia tena, baada ya siku mbili hufanya tena.. sababu sio yy na kuacha sio kazi rahisi ya siku 1.
 
Chukua simu yake weka app ya airdroid parental control utaona kila kitu anachofanya
 
Sikia,sisi sote tuna watoto nakushauri yafuatayo:
1.mfanye awe rafiki yako ili uwe unaongea nae kila kitu.
2.Sasa anza harakati za kumfanya rafiki
 
Be a father.
Sasa camera itasaidia nini?
Huwa nawashauri sana watu kuepuka haya mambo ya camera za siri.

Muulize unachotaka kujua.
Wajue watu wake wa karibu.

Kitu kingine, mfumo wa elimu yetu mtoto wa secondary kusoma Day school na hujawekeza muda wa kutosha kwake jua ni changamoto ingine kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…