Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Kama unafuatilia habari za Tech utaona serikali zote za ulaya wanamwaga ruzuku za Kutosha makampuni yapeleke internet vijijini. Hasa kwa satelite provider kama Star X, mfano Serikali ya Ujerumani wametoa $600 kwa Kila nyumba kijijini ina maana kila Nyumba inapata Free installation na Vifaa vyote wao watalipa tu gharama ya Mwezi.Daah kama process iko hivyo basi siwalaumu
¹elezea mkuu feauture nying kvpsio mbaya.
sema route zao hazina features nyingi...View attachment 2022896
Inategemea na Kifurushi, Zuku 10mbps inapitwa na smile ila Zuku 100mbps ina speed kuliko smile.Hivi speed ya zuku ni kubwa kuliko ya smile?
Huwa naona smile ni funga kazi kwa suala la mtandao.
Ukilimganisha na hawa zuku, yupi yupo juu ya mwenzake?
nawaonea wivu, na pia nawalaumu sana ambao wako ukanda huo ambao fiber wana provide service zao afu wao wanatumia mitandao ya simu kwenye interentInategemea na Kifurushi, Zuku 10mbps inapitwa na smile ila Zuku 100mbps ina speed kuliko smile.
Sema uzuri wa Fiber ni True Unlimited unadownload hata terabyte kadhaa speed haipungui wala hakuna anaekubugudhi na fair usage, Smile wakiona unatumia sana wana drop speed.
Pia Fiber zina ping ndogo 2ms local ping kwa Zuku, Kuangalizia mpira ndo yenyewe.
uwezi ku remove user¹elezea mkuu feauture nying kvp
Unaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.Mkuu Fiber inaChimbiwa Chini kama dawasco, imagine tu kutoa Mfereji Mjini mpaka mwananyamala, gharama kiasi gani? Bado waya za Fiber, Nguzo, manpower, Router na mambo mengine kibao. Sina Cost za kibongo bongo sababu hawapo wazi ila kwa nchi za Wenzetu inaweza fika Hadi milioni 200 kwa KM, ila sababu huko ulaya manpower ni gharama sana assume huku haitafika hivyo, ila still ni hela Kubwa, kwa Cost ya 70,000 kwa mwezi unaweza pata watu angalau 1000 mwananyamala?
Ila kwa serikali Hio ni Hela Ndogo TTCL wanaweza Fikisha Fiber hadi hayo Maeneo na kampuni Binafsi zikawa zinasupply tu Mtaani.
Unaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.
Unaweza pata wateja 50 mwananyamala ila njia nzima ukapata wengine 150.
Lakini bado watu hawajawa na ile awareness ya hidden costs za vifurushi vya simu vs fibre.
Akipatikana mwekezaji jeuri mwenye pesa yake akatawanya fibre dar nzima akafanya kampeni ya nguvu na huduma zikawa reliable, ndani ya miaka 5 atakuwa anasumbua sana.
Mfano, ukitoa fibre toka posta mpaka bunju, hapo kati utakuwa ume-cover wateja wangapi?
Sawa mkuu ila usisahau pia na uswazi kabla hujafika maeneo mengi, jangwani, Buguruni/Vingunguti, Kisiwani, Tandale, Baadhi ya Kinondoni etc.Unaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.
Unaweza pata wateja 50 mwananyamala ila njia nzima ukapata wengine 150.
Lakini bado watu hawajawa na ile awareness ya hidden costs za vifurushi vya simu vs fibre.
Akipatikana mwekezaji jeuri mwenye pesa yake akatawanya fibre dar nzima akafanya kampeni ya nguvu na huduma zikawa reliable, ndani ya miaka 5 atakuwa anasumbua sana.
Mfano, ukitoa fibre toka posta mpaka bunju, hapo kati utakuwa ume-cover wateja wangapi?
Natamani fiber waione hii commentUnaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.
Unaweza pata wateja 50 mwananyamala ila njia nzima ukapata wengine 150.
Lakini bado watu hawajawa na ile awareness ya hidden costs za vifurushi vya simu vs fibre.
Akipatikana mwekezaji jeuri mwenye pesa yake akatawanya fibre dar nzima akafanya kampeni ya nguvu na huduma zikawa reliable, ndani ya miaka 5 atakuwa anasumbua sana.
Mfano, ukitoa fibre toka posta mpaka bunju, hapo kati utakuwa ume-cover wateja wangapi?
Kweli kila mtu na kazi yake,lugha iliyotumika hapa Sijaelewa hata nukta.Mzee unataka kufunga p2p nyumbani...utaweza kweli gharama zake maana utakuwa considered kama BE customer na hata infra zake mfano inabidi unyanyue bomba refu ili utafute LoS...
Kweli kila mtu na kazi yake,lugha iliyotumika hapa Sijaelewa hata nukta.
Tanzania internet inaonekana ni anasa. Ndo maana gharama zinapanda kila kukicha.Sawa mkuu ila usisahau pia na uswazi kabla hujafika maeneo mengi, jangwani, Buguruni/Vingunguti, Kisiwani, Tandale, Baadhi ya Kinondoni etc.
Idea Yangu mimi ambayo Niliona Kenya ni Kufunga system za Wifi kusuply mitaa badala ya Fiber, unakuta wifi za 1mbps tu na bei ndogo 10,000 ama 15,000 watu wanaangalia youtube 480p maisha Yanaenda.
Shukrani mkuu,nimepata ka mwanga.sp2p ni point to point communication, mawasiliano baina ya pointi mbili zinazoonana, kwa hapo huwa ni antenna inayotuma na inayopokea...
LoS Line of sight, kumaanisha muonano wa points mbili zinazoonana, yaani ili zionane lazima hazipaswi kuwa na kitu chochote kati kinachokinga...
BE ni business enterprise, ambapo mteja hupewa huduma ya data/voice ya kivyake vyake kwa ajili ya network yake...
Bila shaka hujui unachobishaniaInternet haipimwi kwa Bytes per Second mkuu (mBps)
Internet speed always tunapima Kwa Bits per Second (mbps).
TCRA watakuminya mbupu plus mikwara kibaoMie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.
Nashangaa wenzetu wanavyoifanya kama anasa vile tena ukiamua kuiuza kwa reja reja kama mitandao ya simu unaweza ukaitwa freemason ndani ya muda mchache sana nchini!
Waje Manzese basiLiquid huduma kwa mteja ni mbovu, there is a reason kwanini kila mtu ana Zuku Hapa Mjini.
Inategemea na Kifurushi, Zuku 10mbps inapitwa na smile ila Zuku 100mbps ina speed kuliko smile.
Sema uzuri wa Fiber ni True Unlimited unadownload hata terabyte kadhaa speed haipungui wala hakuna anaekubugudhi na fair usage, Smile wakiona unatumia sana wana drop speed.
Pia Fiber zina ping ndogo 2ms local ping kwa Zuku, Kuangalizia mpira ndo yenyewe.
Imeniuma sana kwanza dstv ningeipiga chini alafu pili ningetumia net tu kujinufaishna plus chanel za zuku basi duuh mjini raha sananawaonea wivu, na pia nawalaumu sana ambao wako ukanda huo ambao fiber wana provide service zao afu wao wanatumia mitandao ya simu kwenye interent
Mtaani kwetu huku kusini umepita, ila hakuna hata nyumba moja imevuta na hawajui tu ule mkongo una maana gani.Nina uhakika kuna wateja wengi mno nje ya mji.
Sema hakuna marketing ya maana inafanyika kuwafanya wao watambue kwamba ni potential clients na jinsi internet ni basic need kwao.
Kwahiyo hawaruhusu kutumia router tofauti na zao!?uwezi ku remove user
solution:change wifi password
vlan
dhcp