Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Daah kama process iko hivyo basi siwalaumu
Kama unafuatilia habari za Tech utaona serikali zote za ulaya wanamwaga ruzuku za Kutosha makampuni yapeleke internet vijijini. Hasa kwa satelite provider kama Star X, mfano Serikali ya Ujerumani wametoa $600 kwa Kila nyumba kijijini ina maana kila Nyumba inapata Free installation na Vifaa vyote wao watalipa tu gharama ya Mwezi.
 
Hivi speed ya zuku ni kubwa kuliko ya smile?

Huwa naona smile ni funga kazi kwa suala la mtandao.

Ukilimganisha na hawa zuku, yupi yupo juu ya mwenzake?
Inategemea na Kifurushi, Zuku 10mbps inapitwa na smile ila Zuku 100mbps ina speed kuliko smile.

Sema uzuri wa Fiber ni True Unlimited unadownload hata terabyte kadhaa speed haipungui wala hakuna anaekubugudhi na fair usage, Smile wakiona unatumia sana wana drop speed.

Pia Fiber zina ping ndogo 2ms local ping kwa Zuku, Kuangalizia mpira ndo yenyewe.
 
nawaonea wivu, na pia nawalaumu sana ambao wako ukanda huo ambao fiber wana provide service zao afu wao wanatumia mitandao ya simu kwenye interent
 
Mkuu Fiber inaChimbiwa Chini kama dawasco, imagine tu kutoa Mfereji Mjini mpaka mwananyamala, gharama kiasi gani? Bado waya za Fiber, Nguzo, manpower, Router na mambo mengine kibao. Sina Cost za kibongo bongo sababu hawapo wazi ila kwa nchi za Wenzetu inaweza fika Hadi milioni 200 kwa KM, ila sababu huko ulaya manpower ni gharama sana assume huku haitafika hivyo, ila still ni hela Kubwa, kwa Cost ya 70,000 kwa mwezi unaweza pata watu angalau 1000 mwananyamala?

Ila kwa serikali Hio ni Hela Ndogo TTCL wanaweza Fikisha Fiber hadi hayo Maeneo na kampuni Binafsi zikawa zinasupply tu Mtaani.
Unaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.

Unaweza pata wateja 50 mwananyamala ila njia nzima ukapata wengine 150.

Lakini bado watu hawajawa na ile awareness ya hidden costs za vifurushi vya simu vs fibre.

Akipatikana mwekezaji jeuri mwenye pesa yake akatawanya fibre dar nzima akafanya kampeni ya nguvu na huduma zikawa reliable, ndani ya miaka 5 atakuwa anasumbua sana.

Mfano, ukitoa fibre toka posta mpaka bunju, hapo kati utakuwa ume-cover wateja wangapi? Kuna mahospitali, vituo vya afya, garage, migahawa, malls, offices, mashule na vyuo, petrol stations, offices, viwanda, maduka ya aina mbalimbali, wedding halls, makanisa, hotels, masoko n.k.

Watu wanajaa Grano Coffee kwasababu ya wifi ya bure na sio ile kahawa, wengi wanapatumia kama working space or meeting point.

Kwahiyo nadhani inaonekana ni gharama kupeleka huduma ila hatujajua opportunities zinazokuja baada ya hapo.
 
Unaongelea mwananyamala ila huongelei toka huko mjini mpaka mwananyamala umepita potential clients wangapi.

Unaweza pata wateja 50 mwananyamala ila njia nzima ukapata wengine 150.

Lakini bado watu hawajawa na ile awareness ya hidden costs za vifurushi vya simu vs fibre.

Akipatikana mwekezaji jeuri mwenye pesa yake akatawanya fibre dar nzima akafanya kampeni ya nguvu na huduma zikawa reliable, ndani ya miaka 5 atakuwa anasumbua sana.

Mfano, ukitoa fibre toka posta mpaka bunju, hapo kati utakuwa ume-cover wateja wangapi?

Sawa mkuu ila usisahau pia na uswazi kabla hujafika maeneo mengi, jangwani, Buguruni/Vingunguti, Kisiwani, Tandale, Baadhi ya Kinondoni etc.

Idea Yangu mimi ambayo Niliona Kenya ni Kufunga system za Wifi kusuply mitaa badala ya Fiber, unakuta wifi za 1mbps tu na bei ndogo 10,000 ama 15,000 watu wanaangalia youtube 480p maisha Yanaenda.
 
Natamani fiber waione hii comment
 
Kweli kila mtu na kazi yake,lugha iliyotumika hapa Sijaelewa hata nukta.

p2p ni point to point communication, mawasiliano baina ya pointi mbili zinazoonana, kwa hapo huwa ni antenna inayotuma na inayopokea...

LoS Line of sight, kumaanisha muonano wa points mbili zinazoonana, yaani ili zionane lazima hazipaswi kuwa na kitu chochote kati kinachokinga...

BE ni business enterprise, ambapo mteja hupewa huduma ya data/voice ya kivyake vyake kwa ajili ya network yake...
 
Sawa mkuu ila usisahau pia na uswazi kabla hujafika maeneo mengi, jangwani, Buguruni/Vingunguti, Kisiwani, Tandale, Baadhi ya Kinondoni etc.

Idea Yangu mimi ambayo Niliona Kenya ni Kufunga system za Wifi kusuply mitaa badala ya Fiber, unakuta wifi za 1mbps tu na bei ndogo 10,000 ama 15,000 watu wanaangalia youtube 480p maisha Yanaenda.
Tanzania internet inaonekana ni anasa. Ndo maana gharama zinapanda kila kukicha.
 
sp2p ni point to point communication, mawasiliano baina ya pointi mbili zinazoonana, kwa hapo huwa ni antenna inayotuma na inayopokea...

LoS Line of sight, kumaanisha muonano wa points mbili zinazoonana, yaani ili zionane lazima hazipaswi kuwa na kitu chochote kati kinachokinga...

BE ni business enterprise, ambapo mteja hupewa huduma ya data/voice ya kivyake vyake kwa ajili ya network yake...
Shukrani mkuu,nimepata ka mwanga.
 
Internet haipimwi kwa Bytes per Second mkuu (mBps)

Internet speed always tunapima Kwa Bits per Second (mbps).
Bila shaka hujui unachobishania
Speedtest tools zinapima kwa MBps na Mbps unachagua between the two

Most tools kama torrent clients hata default speed meter kwenye Android inapima kwa Byte sio Bit. Nilichotahadhalisha pale ni kama mleta mada anajua tofauti between the two maana alisema ameambiwa (verbally)
 
Mie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.

Nashangaa wenzetu wanavyoifanya kama anasa vile tena ukiamua kuiuza kwa reja reja kama mitandao ya simu unaweza ukaitwa freemason ndani ya muda mchache sana nchini!
TCRA watakuminya mbupu plus mikwara kibao
 
Inategemea na Kifurushi, Zuku 10mbps inapitwa na smile ila Zuku 100mbps ina speed kuliko smile.

Sema uzuri wa Fiber ni True Unlimited unadownload hata terabyte kadhaa speed haipungui wala hakuna anaekubugudhi na fair usage, Smile wakiona unatumia sana wana drop speed.

Pia Fiber zina ping ndogo 2ms local ping kwa Zuku, Kuangalizia mpira ndo yenyewe.

nawaonea wivu, na pia nawalaumu sana ambao wako ukanda huo ambao fiber wana provide service zao afu wao wanatumia mitandao ya simu kwenye interent
Imeniuma sana kwanza dstv ningeipiga chini alafu pili ningetumia net tu kujinufaishna plus chanel za zuku basi duuh mjini raha sana
 
Nina uhakika kuna wateja wengi mno nje ya mji.

Sema hakuna marketing ya maana inafanyika kuwafanya wao watambue kwamba ni potential clients na jinsi internet ni basic need kwao.
Mtaani kwetu huku kusini umepita, ila hakuna hata nyumba moja imevuta na hawajui tu ule mkongo una maana gani.

Nahisi ni wa raha/ hai fibre.
 
Back
Top Bottom