Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

p2p ni point to point communication, mawasiliano baina ya pointi mbili zinazoonana, kwa hapo huwa ni antenna inayotuma na inayopokea...

LoS Line of sight, kumaanisha muonano wa points mbili zinazoonana, yaani ili zionane lazima hazipaswi kuwa na kitu chochote kati kinachokinga...

BE ni business enterprise, ambapo mteja hupewa huduma ya data/voice ya kivyake vyake kwa ajili ya network yake...
Nimekusoma sana hapo mimj nafanya kwenye kampuni moja ya mawasiliano ya simu hapa nchini

Ukikutana na BE mtata au Tenant mtata utapigwa penalties za kutosha uki break communication.... communication barrier
 
Mkuu Fiber inaChimbiwa Chini kama dawasco, imagine tu kutoa Mfereji Mjini mpaka mwananyamala, gharama kiasi gani? Bado waya za Fiber, Nguzo, manpower, Router na mambo mengine kibao. Sina Cost za kibongo bongo sababu hawapo wazi ila kwa nchi za Wenzetu inaweza fika Hadi milioni 200 kwa KM, ila sababu huko ulaya manpower ni gharama sana assume huku haitafika hivyo, ila still ni hela Kubwa, kwa Cost ya 70,000 kwa mwezi unaweza pata watu angalau 1000 mwananyamala?

Ila kwa serikali Hio ni Hela Ndogo TTCL wanaweza Fikisha Fiber hadi hayo Maeneo na kampuni Binafsi zikawa zinasupply tu Mtaani.
Kabisa mkuu, yaan ttcl watengeneze miundombinu then kampun binafsi wanalipia tu charges
 
Ipo Startup company ya Singapore ina provide wireless fiber in the Sky. Speed inaanzia 1Gbps na Installation yake ni ndani ya 1-4 hours. Hii kampuni ikija Tanzania itaweza fikia watu wengi sana.
 
Habari wadau

Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo

Nasubiri ushauri wenu wadau
MB 10 ni sawa na 0.01 GB (1% ya GB 1) ambao ni mwendo wa Kinyonga.
 
ulienda chuo kulala/kukariri notes we mzee
Mimi siyo mtaalamu wa hayo madudu, lakini ninachojuwa speed ziko limited kutegemea na muuzaji. Hata hiyo wanayokuahidi huwa wanasema up to 10mps, lakini ukweli ni kuwa mara nyingi spidi mara zote huwa chini ya hizo. Pia spidi hutegemea watu wangapi wanatumia internet hiyp kwa wakati mmoja. Unaweza kulinganisha na pressure ya maji au umeme na watumiaji. Kwa Dar mara nyingi kuna shida ya majki/pressure kwa sababu watumiaji ni wengi kuliko wale waliotegemewa kutumia maji. So, is internet. USA sasa kampuni pekee yenye kuto internet ya uhakika kwa bei nafuu, ambao hutoa 1GB kwa $70 na 2 GB kwa $100. Wengine wote ni wababaishaji, watakuambia 1 GB kwa $90 lakini watumiaji wakipima wanakuta ni mbps 50 au 60 ambayo bado ni spidi nzuri.
 
Kama unafuatilia habari za Tech utaona serikali zote za ulaya wanamwaga ruzuku za Kutosha makampuni yapeleke internet vijijini. Hasa kwa satelite provider kama Star X, mfano Serikali ya Ujerumani wametoa $600 kwa Kila nyumba kijijini ina maana kila Nyumba inapata Free installation na Vifaa vyote wao watalipa tu gharama ya Mwezi.
Serkali za Ulaya zinafanya hivyo, kwa sababu hailipi kupeleka internet vijijini. Kwa inatakiwa serkali igharimie infrastructure, ili zivutie providers kutoa hudiuma huko.

Hivi hawa providers wa simu kama vile Vodacom, Airtel, na wengineo hawawezi kutoa hii huduma kwa njia ya wiereless bila kupitia cellphone? Nina kaTV kangu kijijini ambako bluetooth lakini siwezi kutumia functions nyingi kama Youtube kwa kukosa internet, na internet hata hiyo mnayoiongelea sidhani itafika kwetu labda baada ya miaka 20.
 
Mtaani kwetu huku kusini umepita, ila hakuna hata nyumba moja imevuta na hawajui tu ule mkongo una maana gani.

Nahisi ni wa raha/ hai fibre.
Je, wewe umevuta? Unawalaumu wengine tu. Anza wewe uwe mfano, kisha washawishi wengine. Lead by example!
 
But according to my university notes, ETHERNET cable has got a maximum speed of 100mbps.

Now how comes fiber (advanced technology) provides only 10mbps

You can use a 3 inches pipe Kwa Maji ya ujazo wowote, what matters is the volume that goes through the pipe!
 
Serkali za Ulaya zinafanya hivyo, kwa sababu hailipi kupeleka internet vijijini. Kwa inatakiwa serkali igharimie infrastructure, ili zivutie providers kutoa hudiuma huko.

Hivi hawa providers wa simu kama vile Vodacom, Airtel, na wengineo hawawezi kutoa hii huduma kwa njia ya wiereless bila kupitia cellphone? Nina kaTV kangu kijijini ambako bluetooth lakini siwezi kutumia functions nyingi kama Youtube kwa kukosa internet, na internet hata hiyo mnayoiongelea sidhani itafika kwetu labda baada ya miaka 20.
Ipo satelite internet inaitwa Konnect bei 60,000 kwa mwezi, kianzio unalipia mwaka, kama unajiweza unaweka. Haina speed kama star x ila kwa vitu ambavyo sio live ipo bomba.
 
Mimi siyo mtaalamu wa hayo madudu, lakini ninachojuwa speed ziko limited kutegemea na muuzaji. Hata hiyo wanayokuahidi huwa wanasema up to 10mps, lakini ukweli ni kuwa mara nyingi spidi mara zote huwa chini ya hizo. Pia spidi hutegemea watu wangapi wanatumia internet hiyp kwa wakati mmoja. Unaweza kulinganisha na pressure ya maji au umeme na watumiaji. Kwa Dar mara nyingi kuna shida ya majki/pressure kwa sababu watumiaji ni wengi kuliko wale waliotegemewa kutumia maji. So, is internet. USA sasa kampuni pekee yenye kuto internet ya uhakika kwa bei nafuu, ambao hutoa 1GB kwa $70 na 2 GB kwa $100. Wengine wote ni wababaishaji, watakuambia 1 GB kwa $90 lakini watumiaji wakipima wanakuta ni mbps 50 au 60 ambayo bado ni spidi nzuri.
Sio kweli.

Speed yao huwa sio 10mbs huwa inafika hadi 144mbps.

Sijawahi kuikuta hata 30 mbps ni zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom