Hiki ni kipengele muhimu kinachomis kwenye maelezo yake.unataka ufikishe 25m ndani ya muda gani mkuu?
kweli mkuuHiki ni kipengele muhimu kinachomis kwenye maelezo yake.
kwa mwezi unaweza kusave kiasi gani mkuu,Wakati naanza mwaka jana ilikuwa ni safari ya miaka 3 lakini ndani ya mwaka mmoja sikufika hata robo ya lengo maana nilijikuta pesa zote nimezitumia
Ushauri mzuri nitaufanyia kaziKwa hicho kipato , laki 5-8, huku una familia .... ni ngumu sana kufikia hilo lengo la 25m, labda ukope huko kazn kwako, ama ni mfanyabiashara sijajua!!!
Ushauri ! Buni chanzo kipya cha Mapato, then save na jibane sana pengine ndani ya 3yrs ukawa na hio pesa
inategemea na matumizi yako mkuuHuo ni moja ya ushauri ambao nahitaji kutoka kwenu kulingana na kipato changu tajwa hapo juu