KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Safi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu, kwani mtu hua anaanza tu kuku laki moja ghafla bin vuu? Kama mtoa mada alivyosema kwa sasa ana kuku 15 na vifaranga 70 kadiri mradi unavyoendelea kukua ataendelea ku update figures zake kulingana na mradi unavyokua. Lakin kingne uwezo wa kuzalisha chakula upo kama atajipanga vzr. Ukiwa na eneo kubwa unaweza kutengeneza chakula mbala like kulima mboga kwaajili ya kula kuku.Kuna kitu mkuu unakosea sana, hakuna aliekataa mazingira ya kijijini kuwa hayako favourable Kwa ajili ya ufugaji wa kuku na hasa free range system
Anaweza akawa ndio mtu wa kwanza kufanya hivyo, kwanini ishindikane kama ana rasilimali za kufanyia hiyo kazi. Kuku laki moja si wengi kushindwa kuwafikia idadi hiyo kwa miaka 3.Ni rahisi kusema haya, lakini uhalisia haupo hivyo, unayo safari ndefu kufikia idadi hiyo.
Akienda Bank au taasisi za kukopesha, kuku wanaweza tumika kama dhamana.Endelea kujifurahisha na kufurahisha wengine, ila kiuhalisia ni kwamba Huwezi kuwa na kuku laki moja
Unawajua kuku laki 1 au unawaskia tu? Hiyo mashine unayosema ipo ya kusaga haina uwezo wa kuhudumia kuku laki 1 Kwa siku
Ni vizuri kama umeamua kukimbia Dar na kurudisha mpira Kwa goal kipa ila kama ndo umerudi na mawazo hayo basi muda sio mrefu utarudi Dar pamoja na kuku wa Mama
Kuanza na kuku 15 saizi unawaza kuwa na kuku laki 1, unadhani wafugaji wenzio walio kwenye tasnia kabla yako hawajui hayo madawa na chanjo?
Huwajui kuku vizuri wewe, Kwa sasa we furahia tu hao vifaranga 70 Kwa sababu wapo ndani ya uwezo wako na ata wafike 500 still wanaweza wakawa ndani ya uwezo wako
ila ukitaka kujua kuwa inawezekana unawaza ukiwa umeshiba sana au Una njaa sana basi Piga hesabu ya gharama ya kulisha kuku 5000 tu ndio utajua kuwa unaota ndoto ukiwa ndani ya Maji
Anyway, All the best mkuu
Ila akiweka dhamira anaweza kufanikisha hili. Sababu mayai si lazima watage kuku wake tu anaweza kuchukua hata kwa watu baki akawa anatotolesha. Sasa mfano akiwa na kasi ya kutotolesha vifaranga vingi na kuvitunza hadi vikakua kuna possibility akakimbiza na kuifikia hiyo idadi nakuweza kuimudu ingawa ni kuku wengi sana kuwafuga.Sio kumkatisha tamaa ni kuelezana ukweli tu. Kuku laki moja wanahitaji mtaji mkubwa sana zaidi ya milioni 500. Sasa hiyo time aliyojiwekea kufikia hiyo idadi si sahihi unless awe na mtaji kama milioni 250 kwa sasa awekeze ili akizalisha afikie hilo lengo.
naofuga kuku wa mayai au wazalishaji vifaranga. Broilers ni faida za kawaida za kusukumia ndinga ila sio kuwa bilionea
Kwa Mindset hii, wewe mafanikio utaishia kuyaona kwa wenzio tu.Ni rahisi kusema haya, lakini uhalisia haupo hivyo, unayo safari ndefu kufikia idadi hiyo.
Anaweza bwana. Kuku laki moja maana yake ni mafungu ya kuku 100 mara 1000. Akiweka malengo ya kuzalisha kuku 100 ndani ya muda huo mara 1000 anaweza kufika hiyo idadi na kuimudu kuilea.Ata kama mipango ni yake na sio yangu, ila kuna vitu vingine sio vya kumjaza mtu ujinga kisa nisimkatishe tamaa
Hebu tuwe serious, hivi wewe unawajua kuku laki 1 lakini au unataka tu kwenda na beat la mtoa mada umfurahishe?
Yani ulishe kuku laki 1 Kwa kutegemea mashine ya kusaga? Hebu acheni masikhara kwenye vitu vya msingi Aisee
Kuku wakiwa wengi kiasi hicho soko ni uhakika cha msingi ni kulenga mteja sahihi kutokana ba utayari wa bei.Hakuna kitu chochote kisicho wezekana chini ya jua ukiwa na nia na mazingira wezeshi.
Kuku elfu 100 kuwataja ni rahisi sana, lakini katika uhalisia nimradi mkubwa sana ambao unatakiwa kuwa na mtaji mkubwa sana wa hali na mali.
Nguvu kazi inayotakiwa kuwa kwenye huo mradi sio ndogo.
Kiufupi inawezekana lakini sio kwa wepesi kwa kiasi hicho na pia kwa muda huo na pia tegemea soko kusumbua pia.
Unakuku wa ngp wa mayaiSio kumkatisha tamaa ni kuelezana ukweli tu. Kuku laki moja wanahitaji mtaji mkubwa sana zaidi ya milioni 500. Sasa hiyo time aliyojiwekea kufikia hiyo idadi si sahihi unless awe na mtaji kama milioni 250 kwa sasa awekeze ili akizalisha afikie hilo lengo.
Mie nina kuku wanyamana wa mayai. Tuongelee wa nyama tu ambao ninao 8000 at a time na mtaji wake kwenye miundo mbinu yote kuanzia eneo mabanda, uzio, maji, miundombinu ya kulishia na nyumba ya wafanyakazi iligharimu around 60 milioni na lengo ni kufika kuku 15,000 ndani ya miaka minne. Tena hapo nimewekeza hela yangu na nina mpango wa kuchukua mkopo nimeshakamilisha business plan yenye kuonyesha costs, turn over na faida nitakayopata na expansion strategies. Kwa huyu wa kuku 70 na aweze kufika 100,000 ndani ya miaka mitatu ni ngumu sana unless uwe na mtaji kubwa sana wa kuanzia na mashine kubwa sana za utotoleshaji (incubator) pia inatakiwa eneo kubwa sana kama heka 20 mpaka 50 na linatakiwa liwe fenced kama ukifuga kwa mfumo wa kuwaachia (freerange).
Wazo la mtoa mada sio baya ila inabidi afanye research ya kutosha kuhusu nini kinahitajika, madawa, masoko, miundombinu na vitu vingine. Nigeria kuna jamaa mmoja anafuga kuku kama 10,000 hivi wa kienyeji mtafute youtube. Pia ingia "Farm Up" youtube ujifunze kwa huyo jamaa mganda ingawa yeye anafuga kuku wa mayai unaweza kujifunza kitu. Matajiri kwenye sekta hizi za ufugaji kuku ni wanaofuga kuku wa mayai au wazalishaji vifaranga. Broilers ni faida za kawaida za kusukumia ndinga ila sio kuwa bilionea
Kuku laki moja kwa miaka mitatu sio kazi rahisi hivyoAnaweza bwana. Kuku laki moja maana yake ni mafungu ya kuku 100 mara 1000. Akiweka malengo ya kuzalisha kuku 100 ndani ya muda huo mara 1000 anaweza kufika hiyo idadi na kuimudu kuilea.
Time frame aliyojiwekea ni ndogo sana na pia hana mtaji zaidi ya hao kuku alionao. Angewekeza say milioni 200 kwa hiyo miaka mitatu angeweza kufikisha kuku laki moja ingawa bado ni ngumu. Ukiingia kwenye hii biashara ndio utaelewaIla akiweka dhamira anaweza kufanikisha hili. Sababu mayai si lazima watage kuku wake tu anaweza kuchukua hata kwa watu baki akawa anatotolesha. Sasa mfano akiwa na kasi ya kutotolesha vifaranga vingi na kuvitunza hadi vikakua kuna possibility akakimbiza na kuifikia hiyo idadi nakuweza kuimudu ingawa ni kuku wengi sana kuwafuga.
Na wanaweza hata kumpiga asipowapa chakula.
Uko sahihi,ufugaji na kilimo ni sayansi sio maneno,mtaji pia ni muhimu sanaTime frame aliyojiwekea ni ndogo sana na pia hana mtaji zaidi ya hao kuku alionao. Angewekeza say milioni 200 kwa hiyo miaka mitatu angeweza kufikisha kuku laki moja ingawa bado ni ngumu. Ukiingia kwenye hii biashara ndio utaelewa
Elfu tatu mia tano. Nina mpango wa ku expand nimenunua eneo kubwa Kibaha ndio naliweka sawa kimiundombinu nihamishie nguvu zote hukoUnakuku wa ngp wa mayai
Alafu wewe!!! Umeambiwa ameanza na kuku 15 aliyowakuta kwa mama yake, alafu unamwambia aanze na 1000 achukue wapi.Anza kufuga 1000 ndio utaona faida
Samahani nakufuata PM,Nakutakia kila lakheri katika ufugaji ila anza nao taratibu ujue mbivu na mbichi za hiyo biashara. Mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama na mayai. Nionavyo mie kwenye mazao ya ufugaji kuku, wenye faida sana ni kuku wa mayai wanafuatia broiler lisha hawa kuku chotora kisha wa mwisho wa kienyeji
Hawa wafugaji ukiwafuata PM hawajibu sijui wanamatatizo ganiUko sahihi ila mimi naona
1. Wamayai na nyama
2. Kienyeji
3.chotara
Acha kukatisha tamaa,Endelea kujifurahisha na kufurahisha wengine, ila kiuhalisia ni kwamba Huwezi kuwa na kuku laki moja
Unawajua kuku laki 1 au unawaskia tu? Hiyo mashine unayosema ipo ya kusaga haina uwezo wa kuhudumia kuku laki 1 Kwa siku
Ni vizuri kama umeamua kukimbia Dar na kurudisha mpira Kwa goal kipa ila kama ndo umerudi na mawazo hayo basi muda sio mrefu utarudi Dar pamoja na kuku wa Mama
Kuanza na kuku 15 saizi unawaza kuwa na kuku laki 1, unadhani wafugaji wenzio walio kwenye tasnia kabla yako hawajui hayo madawa na chanjo?
Huwajui kuku vizuri wewe, Kwa sasa we furahia tu hao vifaranga 70 Kwa sababu wapo ndani ya uwezo wako na ata wafike 500 still wanaweza wakawa ndani ya uwezo wako
ila ukitaka kujua kuwa inawezekana unawaza ukiwa umeshiba sana au Una njaa sana basi Piga hesabu ya gharama ya kulisha kuku 5000 tu ndio utajua kuwa unaota ndoto ukiwa ndani ya Maji
Anyway, All the best mkuu