hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 646
- 1,568
ungekua Mwanza ningekupa chimbo ukaongee na huyu mtaalam..Wakuu samahan jamani, Naomba kuelekezwa mahali au chimbo la utajiri wa ndagu au utajiri wa punje za kuku haswa maeneo ya nyanda za juu Kusini huko please
dah pole sana P dd ndoo kashawekwa nyuma ya nondo ningekushauri ujichange ukamtembelee nyumbani kwakeWakuu samahan jamani, Naomba kuelekezwa mahali au chimbo la utajiri wa ndagu au utajiri wa punje za kuku haswa maeneo ya nyanda za juu Kusini huko please
Tafuta Yai la Bundi halafu miambie MkuuWakuu samahan jamani, Naomba kuelekezwa mahali au chimbo la utajiri wa ndagu au utajiri wa punje za kuku haswa maeneo ya nyanda za juu Kusini huko please
Mista devo konekshenMtu wa maana kabisa
π€£π€£π€£π€£ daaah
Naomba unisaidie ya huyu wa mwanza mkuuungekua Mwanza ningekupa chimbo ukaongee na huyu mtaalam..
hapa alipo yupo safarini anakuja Mwanza..
Connection hii nimepewa na Mganga, kwamba huyu ndie mkali wakeπ π π
Mambo yake yakienda vibaya (kilingeni kwake) anasafiri kwenda kwa huyu kurekebisha mambo
π π
RAMLI ZAKE NI ZA KUTUMIA KUKU..
View attachment 3110064
Ila mwamba alikula maisha. Yote ni sawa tu.Haya mambo ni makubwa,msikie huyu jamaa aliekua mwalimu akaamua kutafuta pesa ya aina hii na akaipata
View: https://youtu.be/YZzhPxroXHM?si=CkS5cZLjfkOrcYTW
Pumbav. Usituchanganye na hao mambulula wa kwa mwamposa. Hata mwamposa alipata konekshen, anainjoi utajiri kwa sasaHii ndio aina ya watu wanaojazana kwa mwamposa
Hata uwaeleze vipi kwamba hiyo miujiza ni feki hawachelewi kumbe wapo tayari hata kuua mama zao kisa pesa
Connection ya kwa Didy. Upo tiyari uwekwe mdudu upate pesa ?Pumbav. Usituchanganye na hao mambulula wa kwa mwamposa. Hata mwamposa alipata konekshen, anainjoi utajiri kwa sasa