Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiria kuwaona madaktar bingwa wangine wawili prof yongolo aliestaafu,Dr tosir pia nawamgine mnaweza nielekeza je nikshawaona wangine kunahaja yakuwaambia uko nilikopita namajibu yakeJaribu kutafuta dr bingwa mwingine. Siku zote jambo kubwa kama hilo usilitekeleza kwa kumsikiiza dr mmoja
Oooh ahsante kwa elimu itabid niwe nakula dailyKiongozi vitunguu swaumu, tangaswizi na asali ni dawa ya ulcers pia
AsantePole mkuu
AsanteTatizo limekaa sehemu mbaya sana, pole
Comment nzito sana hii na imejaa weledi..ajibu hapa ..i cant aiseukiishia round 1 unakua hujaridhika unahitaji zaidi mkuu?
tuanze na self satisfaction unajiskiaje? haya mahangaiko n kwa ajili yako binafsi
au kwa ajili ya mwenzio ambae yeye haridhiki na round 1,tuanzie hapo kwanza.
Mkuu nikiishia round yakwanza najiona sjaridhika sababu niround ya dk3 tu siwezi Tena alafu hiyo roud wakat mwingne nafeli uume ukiwa ukeni ama hata kabla ajaingiza...napia mwenza wangu hiyo Hali haridhiki simfikishi kwa dk3 anahitaji zaid angalau dk20 nazaid awe amefika mshindo hata mara2Comment nzito sana hii na imejaa weledi..ajibu hapa ..i cant aise
Basi utafanya vizuri sana. Siku zote jambo kama hili ni vizuri kupata ushauri wa mabingwa tofauti. Hao wengine wnaweza kuja na suluhisho jingine kabisa. Pia hata ulivyoulizia hapa ni vizuri kwani kuna watu wenye experince na mambo mengi.Nafikiria kuwaona madaktar bingwa wangine wawili prof yongolo aliestaafu,Dr tosir pia nawamgine mnaweza nielekeza je nikshawaona wangine kunahaja yakuwaambia uko nilikopita namajibu yake
Yeah ndo maana nimekuja jukwaani kupata msaada wa mawazo na taarifaBasi utafanya vizuri sana. Siku zote jambo kama hili ni vizuri kupata ushauri wa mabingwa tofauti. Hao wengine wnaweza kuja na suluhisho jingine kabisa. Pia hata ulivyoulizia hapa ni vizuri kwani kuna watu wenye experince na mambo mengi.
Hivi nikiwaona Hawa wangine Kuna haja yakuwaelezea nilikopita kote na majibu yalivokua au nijielezee tu wao watajua wanafanyajeBasi utafanya vizuri sana. Siku zote jambo kama hili ni vizuri kupata ushauri wa mabingwa tofauti. Hao wengine wnaweza kuja na suluhisho jingine kabisa. Pia hata ulivyoulizia hapa ni vizuri kwani kuna watu wenye experince na mambo mengi.
Nimefanyiwa kipimo Iko Cha kujua mishipa ya uume kwakichomwa sindano2 katika uume usimame ili wapime kwa ultrasound mishipa ya uumeBasi utafanya vizuri sana. Siku zote jambo kama hili ni vizuri kupata ushauri wa mabingwa tofauti. Hao wengine wnaweza kuja na suluhisho jingine kabisa. Pia hata ulivyoulizia hapa ni vizuri kwani kuna watu wenye experince na mambo mengi.
Nina watoto2una mtoto tayari
Ingekuwa ni mimi dr wa kwanza ningemweleza kuwa nimepitia kwa dr (bila kumtaja jina wala hospital) na akaniandikia vipimo hivi na kunipa ushauri huu. Halafu huyo mwingine nitamwambia tu nilimwelezea mtu wangu wa karibu akaniambia pengine inaweza kuwa ni tatizo fulani hivyo niende kucheki.Hivi nikiwaona Hawa wangine Kuna haja yakuwaelezea nilikopita kote na majibu yalivokua au nijielezee tu wao watajua wanafanyaje
shukuru MUNGU hayo mengine achana nayoNina watoto2
Sasa mke sikunakuachika au kugongewa kama simtombi vizur simridhishishukuru MUNGU hayo mengine achana nayo
Ngoja nianze fanya hivo iwe utamaduni Kila sikuImagine kwenye akili yako huna tatizo na vyote ulivyoambiwa vyakupandikiza unaviona viko sawa na hauna tatizo, tengeneza hii picture kwenye akili yako uwe unairudia rudia pale akili yako inapokiwa idle..
We're limited by our imagination.....