Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mkuu,
Kwanza, pole sana. Mimi nawe tushashauriana mara kadhaa. Hili swala lako lipo kisaikolojia zaidi. Ule ugonjwa wetu wa mwanzo una nafasi kubwa katika kufifisha kiwango chako cha kufanya mapenzi kwa ubora Stahiki. Nikakushauri, kwa sasa zingatia dozi ya Goiter kiukamilifu. Kisha ukitimiza utarudi kwenye kufanikisha hili..
Nimepitia pia uzi, unasema una hemorrhoids. Kwa tafiti nyingi zilizofanyika, zimeonesha wazi kwamba zinapunguza uwezo wa kusimamisha.
Pili, bila shaka daktari amekushauri juu ya penile pump implant. Ni kweli zina mafanikio, ila hushauriwa kwa wazee wa miaka 45+ na wale wasio n uwezo wa kusimamisha kabisa. Wewe walau unasimamisha sikushauri hata kidogo. Kuna matatizo pia yaweza kuambatana na upasuaji husika.
Tatu, si jambo jema kuwa mbinafsi. Ila katika hili unalopitia, nakushauri kuwa mbinafsi. Huku ukitafuta njia mbadala za kumridhisha mkeo. As long as wewe unafikia mshindo basi inatosha. Wasagaji wanawafikisha wanawake kileleni, wanafanyaje? Foreplay ya muda mrefu itakusaidia mno.
Fikiria kuhusu afya yako Mkuu. Kama anaelewa hali yako atakuvumilia. Unaweza fanya implants, na bado kesho na keshokutwa mkeo akakukejeli humfikishi. Swala la mapenzi ni jambo pana sana.
Nne, naona kila mmoja anakushauri dawa. Na kwa sababu u mgonjwa unashawishika kujaribu zote. Tafadhali sana, kwa kuwa swala lako ulishalifikisha kwa Madaktari hebu fuata ushauri wa Daktari wako. Tumia dawa anazokupa. Kujaribu kila njia huweza kukuletea stress zaidi. Mara leo dawa za Umasaini kwetu, kesho kaja Msukumua kakupa, kesho dawq za Kisunna, utafanya mwili wako kuwa hekalu za kila aina ya dawa. Jenga imani juu ya dawa unazotumia, kuwa zitakuwa na mafanikio. Kurukia rukia kila upande ni kutanga tanga kwa imani.
Tano, ishinde hofu ndani yako. Umejawa na hofu iliyo kuu. Madaktari kadhaa walishakuambia huna changamoto. Ulipaswa kuamini, ndiyo ni kweli sina changamoto yeyote. Mwili una tabia ya kutii tunavyouamrisha rohoni. Lakini wewe umekazana kutafuta shida mpaka umepata hilo la mirija. Hebu jiambie nafsini mwako 'Mimi sina changamoto ya kusimamisha na mirija yangu ipo sawa'. Usiwe unajiumbia matatizo Mkuu. Yatakuandama sana na utazunguka kote ukose penye tiba. Win the battle within your soul.