Natakiwa kuwekewa vipandikizi kwenye uume, mirija ni miembamba haipitishi damu nyingi

Mkuu,

Kwanza, pole sana. Mimi nawe tushashauriana mara kadhaa. Hili swala lako lipo kisaikolojia zaidi. Ule ugonjwa wetu wa mwanzo una nafasi kubwa katika kufifisha kiwango chako cha kufanya mapenzi kwa ubora Stahiki. Nikakushauri, kwa sasa zingatia dozi ya Goiter kiukamilifu. Kisha ukitimiza utarudi kwenye kufanikisha hili..

Nimepitia pia uzi, unasema una hemorrhoids. Kwa tafiti nyingi zilizofanyika, zimeonesha wazi kwamba zinapunguza uwezo wa kusimamisha.

Pili, bila shaka daktari amekushauri juu ya penile pump implant. Ni kweli zina mafanikio, ila hushauriwa kwa wazee wa miaka 45+ na wale wasio n uwezo wa kusimamisha kabisa. Wewe walau unasimamisha sikushauri hata kidogo. Kuna matatizo pia yaweza kuambatana na upasuaji husika.

Tatu, si jambo jema kuwa mbinafsi. Ila katika hili unalopitia, nakushauri kuwa mbinafsi. Huku ukitafuta njia mbadala za kumridhisha mkeo. As long as wewe unafikia mshindo basi inatosha. Wasagaji wanawafikisha wanawake kileleni, wanafanyaje? Foreplay ya muda mrefu itakusaidia mno.

Fikiria kuhusu afya yako Mkuu. Kama anaelewa hali yako atakuvumilia. Unaweza fanya implants, na bado kesho na keshokutwa mkeo akakukejeli humfikishi. Swala la mapenzi ni jambo pana sana.

Nne, naona kila mmoja anakushauri dawa. Na kwa sababu u mgonjwa unashawishika kujaribu zote. Tafadhali sana, kwa kuwa swala lako ulishalifikisha kwa Madaktari hebu fuata ushauri wa Daktari wako. Tumia dawa anazokupa. Kujaribu kila njia huweza kukuletea stress zaidi. Mara leo dawa za Umasaini kwetu, kesho kaja Msukumua kakupa, kesho dawq za Kisunna, utafanya mwili wako kuwa hekalu za kila aina ya dawa. Jenga imani juu ya dawa unazotumia, kuwa zitakuwa na mafanikio. Kurukia rukia kila upande ni kutanga tanga kwa imani.

Tano, ishinde hofu ndani yako. Umejawa na hofu iliyo kuu. Madaktari kadhaa walishakuambia huna changamoto. Ulipaswa kuamini, ndiyo ni kweli sina changamoto yeyote. Mwili una tabia ya kutii tunavyouamrisha rohoni. Lakini wewe umekazana kutafuta shida mpaka umepata hilo la mirija. Hebu jiambie nafsini mwako 'Mimi sina changamoto ya kusimamisha na mirija yangu ipo sawa'. Usiwe unajiumbia matatizo Mkuu. Yatakuandama sana na utazunguka kote ukose penye tiba. Win the battle within your soul.
 
Mkuu napenda kukushukuru saana kwa ushauri wako ntafanyia kazi yoote ulionishauri...daktar kaniandikia dawa zakumeza kunifanya niwe stable ktk kufanya tendo yaan kuweza nidelay early ejaculating na zalibido na zanguvu dawa za aina tatu nizitumie kwa mwezi mmoja
 
Zingatia dozi yako. Iamini kwamba itakuongezea uwezo. Jenga imani kabisa uwezo wangu utatimilika punde tu baada ya kumaliza dozi yako. Ona uwezo wako ukiimarika. Meza ukiimagine dawa inavyotembea mpaka kwenye korodani na uume wako.

Nakutakia uponyaji mwema.
 
Kabisa naanim comfidance itaongezeka nahofu kuisha kabisa nantakuwa sawa baada ya dozi
 
Dakika ngapi exactly nikuambie kitu
Kabla ya shida kuwa kubwa nilikua dk9 au zaid kwakujichelewesha yaan nkihisi bao linakuja natoa uume ukeni narudisha naendelea Hadi kufika dk9+...ila baada ya mambo kuwa mengi Kila nkifanya nafeli ndani yadk3 au kushindwa kabisa kabla sjaingiza...nambie kitu Sasa Iko unachotaka kunambia mkuu
 
Nachojua mwanamke hata dakika tatu poa tu .ila kama ni chini ya hapo tena katanuliwe tu mishipa mkuu
Pole sana
 
Habari wakuu, nimefanya vipimo juu ya tatizo langu la nguvu za kiume..shida imekuja kuonekana kuwa mirija yangu ya kwenye uume ni miembamba haileti damu nyingi kwenye uume ili kuweza kufanya tendo kwa ufasaha na ikibidi kurudia roundi nyingine...

Kwahiyo daktari kasema kuwa hakuna tiba nyingine zaidi yakuwekewa vipandikizi ktk uume kufanya damu iflow kwa wingi kwenye uume... ili iweze kufanya uume usimame imara na uweze kufanya tendo na kuweza kurudia roud nyingene maana ilikuwa kurudia round ni baada ya masaa 8.

Wakuu ni njia sahihi tiba hii ya kuwekewa vipandikizi ktk uume?
Samahani mkuu, hapo kama watoto wapo potezea. Show sio lazima sana
 
Hivi nikiwaona Hawa wangine Kuna haja yakuwaelezea nilikopita kote na majibu yalivokua au nijielezee tu wao watajua wanafanyaje

Ukimwona daktari, zingatia ushauri anaokupa na sababu anazokupatia kwenye kutatua tatizo:

1: Evidence based/ushahidi uliopo wa kisayansi kwa kipindi husika kwenye nyanja husika.

2: School of thought/kulingana na mkusanyiko wa uelewa/ufahamu kwa wanazuoni wa eneo husika.

3: Experience/aliyoyang'amua na kuleta mafanikio ya kikazi kwa mhusika katika kazi zake za kila siku.

Tiba husika na vipimo huanza na:

1: Visivyosababisha madhara kwa wakati husika au baadaye/ none-invasive.

2: Gharama inayoendana na ufanisi wake/matarajio na uhakika.

Pima mawazo ya wahusika wote, mfano wanne na kati yao wameelekeza nini pia chagua kulingana na kule juu.

Mfano:
1: Kama watu wawili kati ya wanne wamesema fanyia kazi saikolojia. Anza na mwanasaikolojia haina athari kwa maumbile yako. Ni kuhudhuria na kuwa chanya kwenye hatua zake. Mhusishe mkeo.

2: Kuweka vipandikizi: angalia uwezo wa kutatua, kufeli vs gharama na mengine. Na ni wangapi wameipendekeza kama suluhu.

3: Nk..
 
Ul
Nimehangaika nayo kwa miaka 9 Kila daktar alikua anasema Niko sawa ni ishu yakisaikilojia zaidi..so huyu wasasa alipendekeza vipimo vyote kuanzia hormone, cholesterol, t3, t4, TSH, BP, sugar, testosterone.lh fertility hormones, penile Doppler uss na kuangalia mishipa ktk uume kama Iko vizur ndo kuja kuona kuwa mishipa ni miembamba kwahiyo damu ni ndogo inayokuwa ktk uume sababu ya mishipa miembamba hivyo kufanya uume uiswe strong na kuweza kurudia round nyingine ndani ya muda mfupi
Ulipima prolactin mkuu...

Nakushauri mkuu.. Tumia tiba mbdala Kwanza..
Huko Kwenye kupandikiza huko... Subiri Kwanza
 
Back
Top Bottom