Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

Mbona tayari alishapigwa na hezbollah 2006 hadi marekani kaenda kuomba ceasefire mkuu, idf walisema walikuwa wanapigana na ghosts
Weka data walikufa IDF wangapi na Hezbollah wangapi..
Na uharibifu wa mali na miundo mbinu kwa kila upande.???
 
Kawapige wewe mkuu.
Waislamu na maarabu wanaujua mziki wa wayahudi
 
Je ukiambiwa Hamas hawakuhusika na mauaji ya kinyama ya oktoba 7?haya mambo si ya kujadili hvhv.ni mazito sana
 
Mungu wao unamjua?amea
Mungu wa Abraham aliweka agano na Abraham. kwa hiyo Mungu ataendelea kuliheshimu hilo agano lake. Wanaweza wakapigwa kweli lakini Mungu atawakumbuka tu. Wale siyo wenzetu.
waliwahi kupigwa na nani?
 
Mungu yule yule aliyewaadhibu baada ya wao kutengeneza ndama ili waifanye kuwa mungu wao ndiye huyo huyo atakayewaadhibu baada ya kuwa taifa la kishoga!
Unachanganya vipindi katika maandiko.maandiko yanasema nini kuhusu Israel ya sasa katika unabii?kabla ya kiama?
 
Hawa waalioshindwa kuwapata mateka wao mpaka wameletewa mezani?,hao SI walipiga kiguu na njia km tele Uganda kufuata matekamossa

Wayahudi walimkataa?nyumba ya Yakobo au?
Kwani sisi na Mungu nani anampenda nwenzake?
Sisi hatujamkana?
Mungu kuichagua Israel ni mpango wa Wokovu kwetu sote.Yesu alipofanyika nwanadamu na akazaliwa na kuishi kama mwanadamu alikuja kama Myahudi naam na kupitia yeye tumepata wokovu.agano la Mungu kwa Israel ni la milele.kama wamemkataa watajua na Mungu wao.

Mungu ameahidi they will never be defeated.

Hakuna vita kati ya Israel na Hamas.vita ni kati ya Mikaeli na Lucifer kuelekea Harmagedon

Naam They will never be defeated

Soma Ezekiel 38
 
Na mwaka huu kazi ipo.Israel wanatumia AI
 
Hamas wamekusikia mkuu na wanalifanyia kazi ilo
 
Hongera mkuu.
 
Weka data walikufa IDF wangapi na Hezbollah wangapi..
Na uharibifu wa mali na miundo mbinu kwa kila upande.?
Haya myahudi wa mbagala soma hiyo part ya report kutoka library ya jeshi la marekani ukitaka full report nenda kasome inaitwa WE WERE CAUGHT UNPREPARED muwe mnasoma vitu kama hivi sio porojo za kijiweni mlizoaminishwa
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-192318_Drive.jpg
    95.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231018-192425_Drive.jpg
    32.5 KB · Views: 3
Hamas wamekusikia mkuu na wanalifanyia kazi ilo
Hawana lolote.Iran ndio mfadhili wao.yuko wapi Iran?
Utumwa wa kifikra huu,,, shoga wa kizayuni kakuzidi nini mpaka useme wewe sio mwenzio, au yeye anakunya almasi? Acha ubwege wewe!, alafu hao wenzenu wala hawana habari na nyinyi Zaidi ya nyie kuleta shobo kwao, jinga kabisa.
wewe ni mtumwa namba moja na unaumwa.ukishasikia mtu anawsita wayahudi Zionists ujue ni mtumwa.umepandikiziwa fikra na mashehe wa darasa la 7
 
We nawe unatuandikia uharo, bla bla bla, eti nchi sijui ya Mungu, sijui biblia kimepanda kimeshuka,
Hao mazayuni unaoyahusudu yana uspesho gani tofauti na mnyakyusa wa Uyole?
Wao ni bora sana mbele za Mungu kuliko Muha wa Kigoma au mmakonde wa Chitoholi?

Tuache kuwakweza hawa watu, sisi sote ni sawa mbele ya uso wa Mungu.
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba Mungu alibariki kile kizazi chote tangu ibrahim kuwepo kwa ushoga haina maana kwamba hakuna waisrael wanaolishika torati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…