Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba Mungu alibariki kile kizazi chote tangu ibrahim kuwepo kwa ushoga haina maana kwamba hakuna waisrael wanaolishika torati
Waebrania 10:1,16,18

For the law having a shadow of good things to come, and not the very image of the things, can never with those sacrifices which they offered year by year continually make the comers thereunto perfect.

This is the covenant that I will make with them after those days, saith the Lord, I will put my laws into their hearts, and in their minds will I write them;

Now where remission of these is, there is no more offering for sin.
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba Mungu alibariki kile kizazi chote tangu ibrahim kuwepo kwa ushoga haina maana kwamba hakuna waisrael wanaolishika torati
Na hizo baraka tunazipima kwenye nini kipi ni ishara ya kubarikiwa kwao?
 
Ninakubaliana na wewe lakini maandiko yanasema tumepandikizwa tu wao bado shina lao liko imara halijakatwa kutokana na ahadi aliyopewa Abrahamu. Angalia hapa chini.

"Lakini kama baadhi ya matawi yamekatwa, na ninyi kama mizeituni mwitu mkapandwa katika shina, mkashiriki pamoja na matawi mengine chakula kutoka katika shina la mzeituni, 18 msi jivune mbele ya hayo matawi. Kama mkijisifu mkumbuke kuwa si ninyi mnaoshikilia shina, bali ni shina linalowashikilia ninyi. 19 Pengine mtasema, “Matawi yalikatwa ili nipate nafasi ya kupandikizwa katika shina.” 20 Hii ni kweli. Lakini kumbuka kuwa matawi hayo yalikatwa kwa sababu ya kutokuamini; na wewe umesimama imara kwa sababu ya imani. Kwa hiyo usijisifu, bali ujinyenyekeze na kuogopa. 21 Kwa maana kama Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, hatakuacha wewe, atakuondoa. 22 Tafakari basi kuhusu wema na ukali wa Mungu. Yeye ni mkali kwa wale walio anguka, bali amekuonyesha wewe wema wake, kama utadumu katika wema wake. Vinginevyo, na wewe utakatiliwa mbali. 23 Na hata hao Waisraeli, kama wakiacha kudumu katika kutokuamini kwao, atawar udisha kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwarejesha. 24 Ikiwa ninyi mmekatwa kutoka katika mizeituni mwitu, na ki nyume cha asilia mkapandikizwa kwenye mzeituni uliopandwa, ita kuwa ni rahisi kiasi gani matawi haya ya asili kurejeshwa kwenye shina lake?" Warumi 11.
Elimu mungeishika kama mnavyozishika hizo takataka zenu za kidini hili taifa na Afrika kiujumla ingekuwa mbali sana kimaendeleo.

Huwa najiuliza hivyo vichwa mnavyotumia kukalili upuuzi wa mistari ya biblia mngevitumia hivyo vichwa kushika hata principles&laws za kiuchumi&kisayansi mngekuwa wapi?

Akili na nguvu mnayoitumia kuaminishana ujinga makanisan taifa hili lingekuwa mbali sana.

Tunalalamila kila siku kuwa umasikin afrika chanzo ni nini kumbe ni watu kutotumia akili mahala sahihi badala yake wanaitumia sehemu za hovyo na ndio matokeo ya laana kwa taifa.

Haiwezekani usiijue historia na chimbuko la babu zako back to 1000 past years badala yake uwajue watu wa mbali huko ambao hata hawakuhusu masikin ukakalilishwa kuwa ni watakatifu na ukaacha kuijua historia yako ukakazana kuwajua wao, kwa ujinga huu kwanini laana za ufukara,umasikin visikushike? Kwanini laana ya kuonewa na mataifa ya watu weupe isizidi?

Enyi wafia dini amkeni na mufungue akili zenu, tumien akili zenu mahala sahihi, tumieni akili zenu kuijua background ya babu zenu na sio hao wazungu na waarabu wasio wahusu.
 
Sijui itatokea lini, ila mimi natamani sana wayahudi wachapwe kichapo kitakatifu hadi wamtii Mungu wao aliyewatoa Misiri utumwani kwa ishara za ajabu yaani (JEHOVAH)

Ichi ambayo imekuwa na ukaribu na Mungu tangu kipindi cha Ibrahimu,

Ichi ambayo kipindi cha Musa, Mungu alifanya maajabu mengi kupitia mkono wa Musa na ili kwamba mataifa na dunia ijue kuwa kuna Mungu mwenye nguvu na si miungu...!

Haikutosha tu wayahudi kutolewa Misiri kuja kwenye nchi yao ya ahadi Kanaani, bali pia Mungu kwa kuona mbaali zaidi alimwambia Musa andike yote matendo makuu kwenye kitabu cha kumbukumbu na ili kizazi na kizazi kije kijifunze katika hayo!

Ajabu taifa hilo ndilo linabariki ushoga na kuwa ndiyo sehemu ya utamaduni wa kile ambacho Mungu aliwaonya wasijihusishe na uchafu wa aina yoyote kwenye nchi yao

Hivi, tunaposema tuwaombee hawa ambao wamekuwa waasi kwa Mungu, tunakuwa tunatumia kitabu kipi kinachoruhusu ujinga huo?

Hatuwezi kuishia tu kwamba, eti ndiyo hivyo tena Mungu alishawachagua na ndiye anayejua! Inabidi twende mbaali zaidi na kujikumbusha pia katika safari yao ya kuja Kanaani Mungu huyo huyo aliyewafunikiza kwenye aridhi baada ya kujichongea ndama kama sanamu kuifanya ndio mungu wao, ndiye huyo huyo anayechukizwa na uchafu wowote kwa wateule wake, pia ni huyo huyo aliyemgomea Musa kufika Kanaani baada ya Musa kutenda dhambi na licha kwamba Mungu alimhakikishia Musa ndiye atakayewafikisha Wana wa Yakobo kule Kanaani! Na ndiye huyu huyu ambaye hawezi kukubali ushoga wa taifa hilo, na sala zetu juu yao ni makelele mtupu masikioni mwa Mungu!

Ndugu zanguni Wakristo, Mungu aliagana tena na wanadamu kupitia Yesu na ambaye katika huyo, Dunia yote inapata masamaha ya dhambi na baraka zisizo na tofauti na kuondoa habari za hili eti ni taifa teule

Taifa Teule ni wewe uliyempokea Yesu na kuwa Bwana na mwokozi wa Maisha yako, na kwa bahati mbaya, Wayahudi walimkataa huyu Yesu na wakaendelea kubakia na imani yao na hawana agano jipya mpaka sasa

Licha ya hivyo, Taifa hilo ambalo ndani yake ndio chanzo cha wokovu kwa Dunia yote, hata imani yao ya kulitunza agano la kale la Mungu limeshinda, sasa utaona mambo ambayo ni machukizo makubwa mbele ya Mungu wanayafanya

Wanajeshi wako vitani huku wakifunga ndoa za jinsia moja, je kunasababu yoyote kwa Mungu kuzuia kichapo kwa nchi ya aina hiyo?


Soma biblia yako vizuri tena
 
Back
Top Bottom