Natamani Israel apigwe hadi amrudie Mungu wake aliye hai JEHOVAH

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba Mungu alibariki kile kizazi chote tangu ibrahim kuwepo kwa ushoga haina maana kwamba hakuna waisrael wanaolishika torati
Waebrania 10:1,16,18

For the law having a shadow of good things to come, and not the very image of the things, can never with those sacrifices which they offered year by year continually make the comers thereunto perfect.

This is the covenant that I will make with them after those days, saith the Lord, I will put my laws into their hearts, and in their minds will I write them;

Now where remission of these is, there is no more offering for sin.
 
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba Mungu alibariki kile kizazi chote tangu ibrahim kuwepo kwa ushoga haina maana kwamba hakuna waisrael wanaolishika torati
Na hizo baraka tunazipima kwenye nini kipi ni ishara ya kubarikiwa kwao?
 
Elimu mungeishika kama mnavyozishika hizo takataka zenu za kidini hili taifa na Afrika kiujumla ingekuwa mbali sana kimaendeleo.

Huwa najiuliza hivyo vichwa mnavyotumia kukalili upuuzi wa mistari ya biblia mngevitumia hivyo vichwa kushika hata principles&laws za kiuchumi&kisayansi mngekuwa wapi?

Akili na nguvu mnayoitumia kuaminishana ujinga makanisan taifa hili lingekuwa mbali sana.

Tunalalamila kila siku kuwa umasikin afrika chanzo ni nini kumbe ni watu kutotumia akili mahala sahihi badala yake wanaitumia sehemu za hovyo na ndio matokeo ya laana kwa taifa.

Haiwezekani usiijue historia na chimbuko la babu zako back to 1000 past years badala yake uwajue watu wa mbali huko ambao hata hawakuhusu masikin ukakalilishwa kuwa ni watakatifu na ukaacha kuijua historia yako ukakazana kuwajua wao, kwa ujinga huu kwanini laana za ufukara,umasikin visikushike? Kwanini laana ya kuonewa na mataifa ya watu weupe isizidi?

Enyi wafia dini amkeni na mufungue akili zenu, tumien akili zenu mahala sahihi, tumieni akili zenu kuijua background ya babu zenu na sio hao wazungu na waarabu wasio wahusu.
 


Soma biblia yako vizuri tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…