Natamani kuacha kazi ya usalama wa Taifa(TISS)

Status
Not open for further replies.
Nenda duka la dawa uwaombe kwa unyenyekevu wakuuzie dawa zinaitwa modicates(sindano)!Utumie kwa mwezi mmoja hali yako itakuwa tahfif!
 

Yani huu ndo uandishi wa mtu wa Tiss? Rubish kabisa!
 
Acha utapeli unasema uwezi kutaja kituo sasa kusema mission ulizofanya ujui unaweza tambulika cause waliowatuma si wanawajua
 
Ndugu yangu nina jambo la kukuambia.

Mpaka sasa TISS wamekwama kudambua majina behind pen names za hapa JF. Lengo na madhumuni ni kuwanasa wale wanaoikosoa serikali kwa sababu viapo vya TISS ni LAZIMA awe sawa na CCM. Hivyo yeyote anayepinga hicho chama anampinga Rais ambaye ndiye sponsor wa Taasisi. Na kwa sababu kiapo ni kumserve sponsor kama kipaumbele cha kwanza kabla ya nchi, inaonekana ni hatari sana kwa sponsor kusemwa na kukosolewa mitandaoni. Kiufupi TISS ndo wanatumika kufanikia yote hayo.

Hii mbinu ya kuwaalika watu wakuonee huruma kisha wakufuate PM ukiwatega kwa kuomba ushauri ni mbinu hovyo sana.

Lakini fahamu kuwa siyo UT wote ambao wana akili kama zako. Wapo wanaotambua kuwa nchi na wananchi ndo kwanza kisha mengine baadaye. Ingawa wanauawa makumi kwa makumi lakini ipo siku nchi itakombolewa na kila mtu ataishi kwa kujoamini ndani ya nchi yake tofauti na sasa ambapo lazima uoneshe utii kwa mafisi.

Jambo la mwisho. Mtanzania asiyefahamu namna TISS kimuundo na ajira hakika atanasa kirahisi na mtawwokota wengi.

Ushauri wangu ni kuwa huu uzi ufutwe hauna nia njema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…