Ndugu yangu nina jambo la kukuambia.
Mpaka sasa TISS wamekwama kudambua majina behind pen names za hapa JF. Lengo na madhumuni ni kuwanasa wale wanaoikosoa serikali kwa sababu viapo vya TISS ni LAZIMA awe sawa na CCM. Hivyo yeyote anayepinga hicho chama anampinga Rais ambaye ndiye sponsor wa Taasisi. Na kwa sababu kiapo ni kumserve sponsor kama kipaumbele cha kwanza kabla ya nchi, inaonekana ni hatari sana kwa sponsor kusemwa na kukosolewa mitandaoni. Kiufupi TISS ndo wanatumika kufanikia yote hayo.
Hii mbinu ya kuwaalika watu wakuonee huruma kisha wakufuate PM ukiwatega kwa kuomba ushauri ni mbinu hovyo sana.
Lakini fahamu kuwa siyo UT wote ambao wana akili kama zako. Wapo wanaotambua kuwa nchi na wananchi ndo kwanza kisha mengine baadaye. Ingawa wanauawa makumi kwa makumi lakini ipo siku nchi itakombolewa na kila mtu ataishi kwa kujoamini ndani ya nchi yake tofauti na sasa ambapo lazima uoneshe utii kwa mafisi.
Jambo la mwisho. Mtanzania asiyefahamu namna TISS kimuundo na ajira hakika atanasa kirahisi na mtawwokota wengi.
Ushauri wangu ni kuwa huu uzi ufutwe hauna nia njema