Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita


Ila mkikataa ndoa unamaanisha hamtaishi na mwanamke na kuzaa nae pia

Nifafanulie niwaelewe 😀
 
Kwanza naomba niku pongeze ewe OKW BOBAN SUNZU, hongera kwa kuweza kupata machale ya kuli kwepa zimwi la ndoa.

Usi ogope uko katika njia sahihi, maana wanawake wengi kwa Sasa ni kina kaisari, wana penda mtelezo wa kuvuna wasipo panda.

najua wata kwambia una potea, ila ukweli wengi wao Wana ugulia maumivu makali mno, ni vile Wana kosa mtetezi.
Mfano hai ni huyu Zulu man na kubwa la manusu a.k.a nusu albino Half american

Karibu karibu, katika chama bora east Africa na duniani kwa ujumla.

KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
 
 

Attachments

  • FB_IMG_17389544430588607.jpg
    172.7 KB · Views: 2
Kama roho inasita achana na ndoa mkuu.
 
Ungana nao mkuu ukaongoze nguvu maana wamepoteza mwanachama mahiri wa WCB
 
*****! Kweli wewe ni Katibu mwenezi, hadi logo ushatengeneza? Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…