Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kwaio umelichukuliaje swala la @ Nifa kuchukua avatar yako.Shemeji pita mitandaoni huko kwa watu wetu wa press! Picha zipo kibao..
Kacheki kwa kifesi, issaazam, almaszambele, millardayo, lemutuz, etc
Maana nimecheck avatar mbona zinalandana na mkuu The bold?