Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Hii ndio taasisi ninayoikubali sana kwa kupanga mikakati ya miaka hata zaidi ya mia.
Inaushawishi almost dunia nzima na kwa kila mwanadamu direct au indirect kupitia dini shule na orders zake maarufu kama IHS
 
We subiri utakuja kuchoka na roho yako
 
Hii ndio taasisi ninayoikubali sana kwa kupanga mikakati ya miaka hata zaidi ya mia.
Inaushawishi almost dunia nzima na kwa kila mwanadamu direct au indirect kupitia dini shule na orders zake maarufu kama IHS
Mkuu hyo IHS ndo nn?
 
Oh asante mkuu kwa hiyo inapotokea ukatoka ule moshi mweusi maana yake ni nini ? Hajapatikana sio ? Hajapatikana kwa misingi ipi ? Wanaopigiwa kura kuwa papa si wale Makadrinali ? Kwanini mmoja moshi utoke mweupe na mwingine mweusi ?
Kwa mfano mkiwa wawili mnatakiwa kushika nafasi flan, kura zilingane unafikiri hapo nani atakuwa kachaguliwa?
 
Kama huelewi vitu omba uelezwe ukweli, kuhusu talaka au kuvunja ndoa usikurupuke kama huijui sheria ya ndoa. Hakuna chochote alichofanya juu ya sheria ya ndoa, inabaki kuwa palepale.
 
Hakuna kitu kizuri chochote juu ya kanisa katoliki utakachokisikia kutoka marekani.
Marekani INA siri zake nyingi sana, mambo mengine tushaanza kuyaona, ushoga, utoaji wa mimba, ndoa za jinsia moja. Haya yote yanapingwa na kanisa, marekani inachofanya ni kulichafua kanisa kuhusu mambo yasiyo ya msingi ili waweze kuweka mambo yao ya kipuuzi.
Hii leo watu wanaamini kuwa uislam ni ugaidi, nani ametufanya tuelewe hivyo kama sio propaganda chafu za marekani? Anafanya watu wafikiri kuwa hahusiki na hilo wakati ndio mpango wake wa kuitawala dunia.
Saivi imefika mahali mmarekani akisema kitu tunajua ni cha ukweli.
Okay ngoja tusubiri dunia kuwa Giza kuanzia Nov 16 maana NASA wamethibitisha.
 
Utawala wa Kuvaa mavyuma ndio upi huo?, ROMAN EMPIRE? Maana unaonekana kana kwamba unachanganya Catholic church na Roman empire,
 

Kanisa Katoliki ndio taasisi pekee ya kale duniani inayoishi mpaka sasa na haionyeshi dalili zozote za kuporomoka. Dola na falme mbalimbali za dunia zimekuja, zimemea na kunyauka, na kuliacha Kanisa Katoliki na ujana wake ule ule.

Kanisa Katoliki pekee duniani lenye mnyororo wa uongozi usiokatika, kutoka Petro yule mvuvi maskini mpaka leo hii huyu Fransisko.

Ni Kanisa Katoliki pekee hapa nchini lenye raia mwenye uraia wa nchi mbili. Mwadhama Pengo husafiria pasipoti ya Vatikani badala ya Tanzania. Sio katiba wala sharia zinazoweza kumzuia.

Ni Kanisa Katoliki pekee ambalo lenyewe ndio la Kwanza kuwa na chuo kikuu duniani.

Ni Kanisa Katoliki pekee duniani ambalo limeweza kufanya kazi na tawala za kidikteta kama Hitler, tawala za ubaguzi wa rangi kama Afrika Kusinini, wajamaa kama Tanzania, Mabepari kama Kenya nk

Ni Kanisa Katoliki pekee ambalo linaweza kuukataa mwaliko wa rais wa nchi kama Kikwete na kuukubali mwaliko w Mwadhama kardinali kutembelea nchi husika.

Ni Kanisa Katoliki pekee ndilo linaamua Krismasi iwe tarehe 25 Desemba na sio vinginevyo. Na Tanzania tuwe na mapumziko Jumatatu ya Pasaka wakati hakuna sherehe au sikukuu inayoitwa hivyo.

Ukitaka kujua nguvu ya Kanisa Katoliki tafuta maana na maneno haya "Ecclesia in Unum, Sanctus, Catholicum et Apostolicum

nk .nk nk. nk.
 
Duh!yaani wamarekani hawautaki na kuuogopa ukatoliki na hata Kennedy aliwasihi wamuamini hawakumwelewa,tena wamarekani hao hao wasioupenda ukatoliki wamtumia pope jonh paul II mpoland against poland?!!!!poland ni nchi au kijiwe cha saigon?catholic church ni baraza ya kahawa huko gerezani?
 
They have the best intelligence service in the world. All the world intelligence services all combined collect 1/10th of what Vatican collects daily.
 
Uongozi mzima wa nchi ni wa watawa, hao ndiyo wanasomea sheria, afya, elimu, engineering, huduma za jamii na vinginevyo. Askari wanaomlinda Pope lazima wawe wakatoliki. wengine wataendelea.

 
Korea Kaskazini yamtaja Trump kwa mara ya kwanza - BBC Swahili
Hili dhehebu ni watekelezaji Wa NWO period.
 
LPs[/MEET oLPko
[QUOTE="MSEZA MKULU, post: 18510673, member: 49261"]Hii ni Alama ya chama au jesuit order. Au society of Jesus. Pitia humu JF Intelligence Kuna nyuzi zimeeleza kiundani. Mfano Ile ya yeriko nyerere[/QUOTE]

[QUOTE="Sky Eclat, post: 18495678, member: 106478"]This article is about the revolutions of 1917. For the revolution of 1905, see [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/1905_Russian_Revolution']1905 Russian Revolution[/URL].The [B]Russian Revolution[/B] was a pair of [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Revolution']revolutions[/URL] in [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Russian_Empire']Russia[/URL] in 1917, which dismantled the [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Tsarist_autocracy']Tsarist autocracy[/URL] and led to the eventual rise of the [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_Union']Soviet Union[/URL]. The [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Russian_Empire']Russian Empire[/URL] collapsed with the abdication of [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Russian_rulers']Emperor[/URL] [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Nicholas_II_of_Russia']Nicholas II[/URL], and the old regime was replaced by a [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Provisional_government']provisional government[/URL] during the first revolution of February 1917 (March in the [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Gregorian_calendar']Gregorian calendar[/URL]; the older [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Julian_calendar']Julian calendar[/URL] was in use in Russia at the time). In the second revolution that October, the Provisional Government was removed and replaced with a [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Communist_state']communist state[/URL].

The [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/February_Revolution']February Revolution[/URL] (March 1917) was a revolution focused around Petrograd (now [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Saint_Petersburg']Saint Petersburg[/URL]), then capital of Russia. In the chaos, members of the Imperial parliament or [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/State_Duma_of_the_Russian_Empire']Duma[/URL] assumed control of the country, forming the [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Russian_Provisional_Government']Russian Provisional Government[/URL]. The army leadership felt they did not have the means to suppress the revolution, resulting in Nicholas' abdication. The [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/Soviet_(council)']Soviets[/URL] (workers' councils), which were led by more radical socialist factions, initially permitted the Provisional Government to rule, but insisted on a prerogative to influence the government and control various militias. The February Revolution took place in the context of heavy military setbacks during the [URL='https://en.wikipedia.org/wiki/World_War_I']First World War[/URL] (1914–18), which left much of the Russian Army in a state of mutiny.[/QUOTE]
 
Hii ni Alama ya chama au jesuit order. Au society of Jesus. Pitia humu JF Intelligence Kuna nyuzi zimeeleza kiundani. Mfano Ile ya yeriko nyerere
Hiyo ni kifupi cha jina "Yesu" kwa kigiriki
(ΙΗΣOΥΣ), IHS= (iota-eta-sigma).
Hii ni Alama ya chama au jesuit order. Au society of Jesus. Pitia humu JF Intelligence Kuna nyuzi zimeeleza kiundani. Mfano Ile ya yeriko nyerere
 
"philos, post: 18515513, member: 34338"]Iesus Hominis Sanctus = IHS[/QUOTE]
Mweleze Mwalimu mkuu hivi ni vitu vilivyoasisiwa 1534 na muhispania loyola na ndio muasisi wa hiyo logo IHS. Na baadae kukubaliwa na kanisa kama zilivyokubaliwa order nyingine kwa manufaa ya kanisa na kueneza injiri baada ya kukataliwa Mara kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…