Natamani kujua ushawishi wa kanisa katoliki katika utawala na usalama wa dunia

Black Pope huyu ndiye mtawala mkuu wa dunia hii hadi kesho....yeye hazunguki kama huyu Papa mweupe.yeye ndiye boss....ni kweli wakatoliki ndiyo wanatawala dunia
 
Hakuna kitu kama hicho mkuu uwe unaelewa mapema. Historia hiyo haipo

Niwape elimu kwa nini linaitwa The Roman Catholic Church: Kanisa Katoliki liko la magharibi na mashariki. La magharibi tunalofuata Tz ndio Roman Catholic au The Latin Church, lenyewe linafuata madhehebu ya Kirumi. Kuna Kanisa Katoliki la Mashariki. Linajulikana hasa kwa maneno The Eastern Church.

Baadhi ya tofauti za Magharibi na Mashariki:
La Magharibi liko moja kwa moja tiifu kwa Papa: La Mashariki wanamwona Papa kama Primus Inter Pares = First among the equals.

Mapadre, Maaskofu, na Mashemasi wa Latin Church hawaowi. Wa Eastern wanafanya uamuzi wa kuoa au kutokuoa wanapokuwa mashemasi. Ila ukiamua kuoa huwezi kuwa Askofu.

La Magharibi husherehekea Kuzaliwa kwa Yesu Des 25, La Mashariki Jan 6

La Magharibi Mkate unaotumiwa katika Ekaristi hautiwi hamira, Mashariki unatiwa hamira

La Magharibi tunaamini Roho Mt anatoka kwa Baba na Mwana, La Mashariki Roho Mt anatoka kwa Baba kupitia kwa Mwana (Tatizo hili linaitwa filioque)

Muhammad alishauri Ilimu itafutwe ikibisi hata Uchina. Sijui kwa nini alitaja nchi ya Uchina. Waislamu tujuzeni
 
Uongo mtupu..Hiyo siyo maana halisi ulliyoitoa...

Halafu hakuna madhehebu ya Rumi....

Neno Roman Catholic limeletwa kama Nick Name na Waanglikana kipindi walipojitenga...Ni hii ilikuwa kutofautisha zile liturgical Rites....Anglican liturjia yao haina tofauti sana na Kkatoliki..So ili kujitofautisha wakaamua kutoa hilo jina La Roman Catholic....Ndio maana Anglican sometimes huwa wanajiita Anglo-Catholic
 

Elimu za ku google: Anglican hawakujitenga, walitengwa. Waliojitenga ni orthodox
Hili linaitwa La Chiesa Romana
kanisa ni moja tu kwa taarifa yako Una, Santa, Apostolica, Catolica
 
mkuu inaelekea una nyeti embu funguka plse very potenteo
Ngoja nimwage upupu kidogo for my own risk...ni kuwa dola ya rumi ilitawala Kabla ya Yesu kuzaliwa, baada ya kuiangusha dola ya uyunani (Greece) iliyokuwa ikiongozwa na kijana mbabe Alexander the great..Yesu alizaliwa kipind rumi inatawala na haikuwa ikitawala kidini but kisiasa zaidi na kipagani...baada ya siku kusonga Mfalme Constantine wa rumi alibatizwa...na akahamisha makao makuu toka Rome hadi mji wa costantininope kitendo hiki kilileta roope hole Fulani ya kiuongozi kule Rome..na ndipo hapo alitokea askofu (jina kapuni) ambaye alipewa nguvu na wafalme waliofuata baada ya Constantine...taratibu rumi ilibadilika na kuwa ya kidini na kisiasa....kiongozi huyu alipata nguvu kwa haraka sana kisiasa na kidini karibia ulimwengu wote wa kipind kipind kile....nguvu yake ilififia mnamo mapinduzi ya ufaransa...Napoleon Bonaparte ndo kamanda wa jeshi la ufaransa aliye maliza nguvu ya papa...huku kukifuatiwa na rapid industry revolution na vita vya hapa na pale kule Europe pamoja na colonization process na kuinuka kwa uprotestant, vyote vilisababisha nguvu ya papa kufifia sana....hata hvyo Benito musolin alianza kurudisha hadhi ya papa kwa kumpa eneo la Vatican...taratibu akiungwa mkono na mataifa makubwa umaarufu wa papa umeongezeka zaidi hvi karibuni...hata hvyo uprotestant umepoteza nguvu sana kias kwamba kila mtu anawaza lake na vidhehebu vinazidi kuongezeka...Vatican inaona serious threat ni uislam....political ikiwa kama strong weapon inafanya kila njia kuvunja nguvu ya uislam na inafanikiwa kwa spidi ya mawazo huku USA ikiwa ndo center ya mipango yote....kwa sasa America inatakiwa iende kijeshi zaidi na ubabe wa hali ya juu kuweza kuaccomplish the project...huku kukiwa na mipango dhabiti kuhakikisha kila nchi inatawaliwa na mkatoliki iwe kwa democrasia au vinginevyo...japo hata asipokuwa mkatoliki lazima afate Sera za Vatican la sivyo anaundiwa zengwe la maana jambo hili litafanikiwa as time goes...lengo kuu ni kuunda kanda saba dunia nzima ambazo viongozi wao wanakuwa connected direct na Vatican... Usishangae kusikia kesho somalia ipo kwenye east Africa community..... Japo utachukua mda but huu mpango utafanikiwa...na ni mchezo wa kidini ila unachezewa kwenye uwanja wa siasa......
 
duh what do yu think the fate will be
 
Ni nini kinasababisha huo moshi uwe mweupe kama vinavyochomwa vinapaswa kutoa moshishi mweusi
 
Mfumo Wa maisha wao ndiyo unaoongoza dunia kwa kushirikiana na Ubepari ambao ndio unaoongoza dunia kwa sasa. Kwa kiasi kikubwa kanisa linashirikiana sana na mabepari kwa kuwa kanisa lenyewe linajikita katika masuala ya ibada tu hali ya kuwa mambo mengine ni kuwaachia mabepari.
 
Sio makanisa yana muingiliano na serikali bali serikali nyingi hata hizi za kiislam zinafata muundo wa Roma
 
wewe una akili sana, ni muelewa unaotokana na usomaji wako.
Nakupongeza kwa simpo and clear analysis.
 
Ni vigumu sana kujua the way wanavyooperate kazi zao....na critical moment kwao ni kipindi cha kuwapata viongozi wa mataifa...hapo wanakuwa more serious.....ukiwafatilia sana utakutana na vurugu za vita, uchumi, na fujo nyingi nyingi tu...but humo hmo ndo wamekaa wametulia zao...
 
naona wazee wakatoliki wanapinga kwa nguvu kwamba thehebu lao linaoperate kisiasa sana.................

Catholic wanamiliki taasisi za fedha,vyuo, mashule etc yan kifupi uchumi wa dunia upo mikonon mwao na hilo is for a purpose!........

catholic ni dhehebu kwa nje lkn kwa ndani ni kitu kingine hatar zaid...... hawa mabwana ndio waliotawala dunia in the name of dola ya kirumi lkn ili kufuta vitu na kuchanganya watu wakabadili saiz wanajiita catholic........

kipind hiki ndio wanapambana kwel background kurejesha nguvu yao!!! mda utasema!
 
atleast yu no the hidden truth atleast
 
True 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…