Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #221
SawaNi pm namba basi kesho asbh nikitoka Lindoni nikutumie hata hela ule firigisi hapo Kinyerezi
Sema wewe 😂😂😂😂Hivi we dada huku JF ulifikajefikaje maana huendani kabisa na JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Basi tufanye nakupenda babe wangu,kama Una garden love njoo nikushikeshike
😹😹😹Naongea na ChatGpt hapa jinsi ya kukuroposha kama samaki 😜
Alaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm na ww Nani anapaswa atibiwe
Andika namba pm kwenye kibahasha ✉️au haujui kutumia pm?Sawa
Mangi unaharibu foleni 🧐Sina mahitaji hayo ila naweza kukupenda kama kiumbe mwenzangu tu , ukipata kichaa mimi ni tabibu wa vichaa pia nakutibu tu.
Mimi nishazabwa kofi kisa kucheka kinacho chekesha ni hii thread 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naonekana chizi hukuu, jamanii muhurumieni mbavu zangu, khaaah.
Mbona Una haraka hivyoAndika namba pm kwenye kibahasha ✉️au haujui kutumia pm?
Yaan nimeitwa nikiwa huko tsup, naambiwa dada ako marry kakiwasha, mie huyu mbio mbio hadi hapa.Alie kuita kwenye hii thread nani? [emoji23][emoji23]
Nikiiona niweke kumbukizi kabisa halafu kesho nikutumie ela ule firigisi hapo mtaaniMbona Una haraka hivyo
Babu panga foleni hata km una sukari 😹😹😹Dahhhh....
Basi kumbe ndiomaana anatumia nguvu nyingi kiweka mambo vizuri mazee...🤣
Mimi sipo kwenye hiyo foleni ya walugha lugha gademiiit.Mangi unaharibu foleni 🧐
Yupo busy na thread za maanaYupo online mbona
Kabla hujaenda kwake, piitia G7 kwani ulandukee.Mlongo naambiwa niende Kinyerezi kulala. Wiki end hii Kinyereziiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiiiiHiloooo sikutaki
Mwachiluwi Tulia basi mtoto mzuri Marry Diana anataka niende Kinyerezi weekendAndika namba pm kwenye kibahasha ✉️au haujui kutumia pm?
Yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaanzisha uzi siku mbaya [emoji205]
🤣🤣🤣Kabla hujaenda kwake, piitia G7 kwani ulandukee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]