Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #241
Hapana napenda stori, ukija tutakaa tutaongea siyo unatumiwa pesa na mbabu humjui,ukirogwa je.Nikiiona niweke kumbukizi kabisa halafu kesho nikutumie ela ule firigisi hapo mtaani
Kakosea sna tena sanaYaan nimeitwa nikiwa huko tsup, naambiwa dada ako marry kakiwasha, mie huyu mbio mbio hadi hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Alisema nimechoka utajirekebisha mwenyewe ukikua..!!😂😂😂 we sindio akili yako ina changamka vzr ila nacheka sana ase
Atafia uko ukoBabu panga foleni hata km una sukari 😹😹😹
Kila m1 atafikiwa kwa wakati wake, watulizanee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kauli yetu ni moja WF (Wapange Foleni) [emoji81][emoji81]
Majiraniiiiiiiii hukuuuuuuuu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sako Kwa bako[emoji23]
Sasa ndio kwanza ukuaji umeanza lini utajirekebisha 😂😹😹😹 Alisema nimechoka utajirekebisha mwenyewe ukikua..!!
Kwann asijue lakiniiii 😂😂Andika namba pm kwenye kibahasha ✉️au haujui kutumia pm?
Nipe location basi PM mimi sio babu halafu mimi ni shombe shombe angalia picha yangu hapo kwenye avatarHapana napenda stori, ukija tutakaa tutaongea siyo unatumiwa pesa na mbabu humjui,ukirogwa je.
Eeeeh 😂😂😂Yaan nimeitwa nikiwa huko tsup, naambiwa dada ako marry kakiwasha, mie huyu mbio mbio hadi hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marry kawafikia kwa kazi yake iliyotukuka hawamdai..!! 😹😹Kila m1 atafikiwa kwa wakati wake, watulizanee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan sijui kesho sitaambiwa, nimeanza kuwehuka, LolMimi nishazabwa kofi kisa kucheka kinacho chekesha ni hii thread [emoji23]
Kakaa kishamba et kuna mmoja kasema mbona hafananii kuwa jf 🙌🙌🙌Kwann asijue lakiniiii 😂😂
Sijakuona vzrNipe location basi PM mimi sio babu halafu mimi ni shombe shombe angalia picha yangu hapo kwenye avatar
Naenda kukaa na Marry Diana tunapiga story tu basi hayo mambo mengi hapana aiseeNenda nae tu tabata unaijua vzr? Usije kata mbupu 😂
Jf kuna mda inaku changamshaYaan sijui kesho sitaambiwa, nimeanza kuwehuka, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Marry mitano tena!!Atafia uko uko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babu panga foleni hata km una sukari [emoji81][emoji81][emoji81]
Kumi ya bureeee😹😹😹 Marry mitano tena!!
Utaniona weekend vizuriSijakuona vzr