Natamani Ma-Celebrity wa Bongo wangekuwa kama Ma-Celebrity wa Nigeria

Hehehehehe
 
Ivi naskiaga tu kulipwa instagram
Wanalipaje?!
Nimeshauliza ma expert wanakataa hamna kitu kama hicho
 
Kuna ki short course Wema alifanya Malaysia ila aliishia form4 kwa degree hana, mwenye degree ni Jokate
Hehe he
MHESHIMIWA Jokate ana degree ya nini? !
 
Hahaha haha
Watanilipa nikifundisha?!
 
Kama yule Ini Edo ana maapartments mia kidogo....yaan ye kila wiki anabadilisha ndinga mpya na za maana only!

Hadi Tonto Dikey mvuta bangi, kicheche nae tajiri mbaya yaan...chinekeeeee
Ah nampendaje KING TOTO LENT DIKEY!

Sikuhizi Kaokoka. .. Kameolewa na Taajiri mmoja mtumzima kametulia
 
Mpaka leo Wema, Wolper, Uwoya, Ant Eze wanaringishiana Nyumba za kupanga!
Hongera sana kwa dada Jide na SHISHI BABY mambo yenu si haba.
Sooon Shilole atawafunika hao hapo juu maaana anaonekana ana uchu wa maendeleo hataki kuuza sura.
Kabisa
 
La kushangaza familia ya kwao ni wasomi. naona yeye tu ndio mbumbumbu.

Tatizo ni mama, amechangia kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mwanawe.
Ukimsikia mama yake anavyoongea YouTube kuhusu mwanae kwenda kwa waganga utatamani umchape kibao anavyotoka povu mpaka mishipa ya shingo imemtoka kiru
Wanyaturu oyee!
 
we upo kundi gani danga, malaya au mjasiriamali wa pochi/mkebe na ungeanza wewe ili uwape somo realistic hao wanafunzi wako
Sipo kote huko ulivyoviandika mama
Waende shule wakasome mimi sio mwalimu au wakajifunze kwa WaNigeriA
 
Umeandika upuuzi wa hali ya juu...
hujawaonea huruma kwa dhambi ya uzinzi waitendayo....hv mnajisahaulisha kama kuna kiama???pls tell .... people the good thing....usiwa encourage uzinzi
Sawa Mchungaji
ila hujafungwa kabisa unaweza fungua uzi wako ukahubiri unavyotaka

Embu kwa kuanzia naomba tupe wachungaji walokole wako 10 tu hapa Bongo wenye maisha ya maana tofauti Na wachungaji walokole wa Nigeria

Tupe basi majina tusikie

Tupe majina Na maendeleo yao ya maisha ya kimwili
 
Andaa mpango kazi ulete hapa ili tukulipe kwa kuwafundisha hao Ma celebrities, najua wiki moja ya mafunzo itawatosha sio πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mmh hawa celebs wanatikiwa kozi ya miezi 6 mpaka mwaka
 
Mimi ni mvuta bangi sio mchungaji...
but I praise Jah.....
nakazia mali iliyopatikana kwa njia ya uzinzi ni mali ya laana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…