Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
Nani alikuwa Malaysia anasoma?!Mbona nakumbuka kama alikua Malysia kuna kipindi anasoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alikuwa Malaysia anasoma?!Mbona nakumbuka kama alikua Malysia kuna kipindi anasoma.
Ode hapanaSio tu ma celebrity..vijana wa Tanzania wangekuwa km wa naigeria.
HeheheheheKutokujua kiingereza kwa wasanii wetu kunawapelekea kushindwa kufanya mambo nje ya nchi au kuibiwa na mameneja/mapromota uchwara wa bongo.
Kwa kiwango kikubwa movie, comedy na mziki umefaidisha zaidi wasanii Uganda na Kenya kuliko TZ.
Waliochomoza kwetu ni Diamond na late Kanumba tu.
Wanachoongoza kwetu hii followers wa social media na hits za you tube
Ni sheedahHuku wanashindana kupost nguo mpya!
Ivi naskiaga tu kulipwa instagramKuna mahali niliona wakisema Princess Tiffah wa mondi ana followers wengi instagram kuliko mtoto mwingine yeyote wa celebrity wa umri wake akiwemo Blue Ivy wa Beyonce+Jay Z.
Ishu sasa ni kwa namna gani umaarufu wa social media unawaingizia hela bongo celebrity kuacha endorsement uchwara na malipo ya you tube...
Hehe heKuna ki short course Wema alifanya Malaysia ila aliishia form4 kwa degree hana, mwenye degree ni Jokate
Hahaha hahaYou nailed it honey Money Penny
Tatizo la ma celebrate wetu ni kufake, yaani hata hiyo Prado unayosema anaendesha unakuta amehongwa na mbaya zaidi kadi ya gari yenyewe anayo mwanaume😀😀😀
Wameshindwa kuomba mitaji ili wafanye biashara na uwekezaji kwa manufaa yao ya baadaye, wao wanaomba wapangishiwe apartments Mbezi beach.
Ila Money Penny njoo uwape semina elekezi hao mastaa wetu angalau wajitambue sisi wanaume wa JF tutagharamia posho ya kujikimu na malazi😀😀😀
Ah nampendaje KING TOTO LENT DIKEY!Kama yule Ini Edo ana maapartments mia kidogo....yaan ye kila wiki anabadilisha ndinga mpya na za maana only!
Hadi Tonto Dikey mvuta bangi, kicheche nae tajiri mbaya yaan...chinekeeeee
UuuwiNinachojua Mimi celebrities bongo hawazidi watano ; hao wengine ni Malaya tu
KabisaMpaka leo Wema, Wolper, Uwoya, Ant Eze wanaringishiana Nyumba za kupanga!
Hongera sana kwa dada Jide na SHISHI BABY mambo yenu si haba.
Sooon Shilole atawafunika hao hapo juu maaana anaonekana ana uchu wa maendeleo hataki kuuza sura.
Ukimsikia mama yake anavyoongea YouTube kuhusu mwanae kwenda kwa waganga utatamani umchape kibao anavyotoka povu mpaka mishipa ya shingo imemtoka kiruLa kushangaza familia ya kwao ni wasomi. naona yeye tu ndio mbumbumbu.
Tatizo ni mama, amechangia kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mwanawe.
Sawa GooglePorsche not porche
Andaa mpango kazi ulete hapa ili tukulipe kwa kuwafundisha hao Ma celebrities, najua wiki moja ya mafunzo itawatosha sio 😀😀😀Hahaha haha
Watanilipa nikifundisha?!
Sipo kote huko ulivyoviandika mamawe upo kundi gani danga, malaya au mjasiriamali wa pochi/mkebe na ungeanza wewe ili uwape somo realistic hao wanafunzi wako
Sawa MchungajiUmeandika upuuzi wa hali ya juu...
hujawaonea huruma kwa dhambi ya uzinzi waitendayo....hv mnajisahaulisha kama kuna kiama???pls tell .... people the good thing....usiwa encourage uzinzi
Page namba 1 inakuhusuNaam kulikoni
Andaa mpango kazi ulete hapa ili tukulipe kwa kuwafundisha hao Ma celebrities, najua wiki moja ya mafunzo itawatosha sio 😀😀😀
Mimi ni mvuta bangi sio mchungaji...Sawa Mchungaji
ila hujafungwa kabisa unaweza fungua uzi wako ukahubiri unavyotaka
Embu kwa kuanzia naomba tupe wachungaji walokole wako 10 tu hapa Bongo wenye maisha ya maana tofauti Na wachungaji walokole wa Nigeria
Tupe basi majina tusikie
Tupe majina Na maendeleo yao ya maisha ya kimwili
Sawa jahMimi ni mvuta bangi sio mchungaji...
but I praise Jah.....
nakazia mali iliyopatikana kwa njia ya uzinzi ni mali ya laana....