Pre GE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

Pre GE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala rushwa ,mafisadi,na machawa, watakimbia nchi.Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Mbali na mapungufu ya kibadamu HAWA wote wanauzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala rushwa ,mafisadi,na machawa, watakimbia nchi.Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
KWELI WEWE NI GABEJI
 
Nime soma kichwa cha mada tu; kwa sababu Gabeji zimekuwa nyingi mno humu jukwaani, kiasi kwamba inahitaji muda mwingi kuzichambua.

Orodha hiyo ondoa takataka ya huyo Bashite; badala yake weka Luhaga Mpina.
 
Sawa mkuu, nitaitoa
 
Sawa mkuu, nitaitoa
Ni mtazamo tu mkuu 'Gabeji', pamoja na kwamba haya tunayo jadili humu kusema kweli ni pasua kichwa kuhusu mwelekeo wa taifa letu; ingawa wakati mwingine tunaya chukulia kama mzaha au utani utani vile!
 
Lisu anaweza akamtia jela mpk mwenyekiti wake
EEEeeeh!
Siwezi kamwe kushangazwa na hatua ya namna hiyo, Lissu akiichukua mradi tu isiwe ya uonevu na ifuate taratibu zote kwa haki. Kumekuwa na utapeli mwingi sana ndani ya nchi hii chini ya CCM.

Hawa badala ya kuwajibishana, wanapeana zawadi ya mahekalu na marupurupu mengi hata yasiyo stahili kuwepo. Majumba wanayo jengeana ni kama rushwa tu ili hao wanao jengewa wasiseme neno wakati aliyepo madarakani anafanya madudu yake.
 
Ni mtazamo tu mkuu 'Gabeji', pamoja na kwamba haya tunayo jadili humu kusema kweli ni pasua kichwa kuhusu mwelekeo wa taifa letu; ingawa wakati mwingine tunaya chukulia kama mzaha au utani utani vile!
Sawa mkuu nimekupata, matamanio ya wengi ya watanzia wanatamani nchi yao isonge mbele, ila wengi mazingira yanatubana sana, hatuna ujasili wa kutoka public na kusema, ndo maana wengi tumejificha huku, lakin pia wengine wanaogopa kupoteza maisha,vyeo, na kufungua,kutekwa, hata hao machawa ,nao wanatamani sana iwe hivyo,
 
Back
Top Bottom