Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
- Thread starter
- #21
Kabisa mkuu, tungempata Kiongozi kama Lisu machawa na wala rushwa wangekimbia nchiEEEeeeh!
Siwezi kamwe kushangazwa na hatua ya namna hiyo, Lissu akiichukua mradi tu isiwe ya uonevu na ifuate taratibu zote kwa haki. Kumekuwa na utapeli mwingi sana ndani ya nchi hii chini ya CCM.
Hawa badala ya kuwajibishana, wanapeana zawadi ya mahekalu na marupurupu mengi hata yasiyo stahili kuwepo. Majumba wanayo jengeana ni kama rushwa tu ili hao wanao jengewa wasiseme neno wakati aliyepo madarakani anafanya madudu yake.