Pre GE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa mkuu, tungempata Kiongozi kama Lisu machawa na wala rushwa wangekimbia nchi
 
naunga mkono hoja Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ