Hao ni member wamelog out na kuamua kupita kimya kimya.
Mama yumo hapo wache kwanza wakipigwa mawe wataingia!
Za Lucas Mwashambwa ama sio?Waje wachangie pumba zao humu
Ilkigonga kichwa wanatoa PDF....wanachungulia tu
Nilitaka kusema hivi.Hao ni member wamelog out na kuamua kupita kimya kimya.
Mjadala ukiwavutia wana log in kuchangia.
sasa watu wanatumia ID fake halafu wanaogopa huo si upimbi aiseGuests wengi watakuwa ni watumishi wa sirikali. Wanaogopa watashughulikiwa wakiwa wanachama kamili.
Enyi watumishi acheni ukunguru. Kama Mabosi wenu wapo humu, nyinyi mnaogopa nini?