Hao mabosi wanajuaje kuwa huyu ni fulaniGuests wengi watakuwa ni watumishi wa sirikali. Wanaogopa watashughulikiwa wakiwa wanachama kamili.
Enyi watumishi acheni ukunguru. Kama Mabosi wenu wapo humu, nyinyi mnaogopa nini?
Umejuaje n realSio generate ni real
Ndo nmekuuliza Umejuaje n real?mim sio mod ila nina uhakika hizo namba ni real
Bado wako mafunzoni wanaohitimu na kufaulu ndio hujiunga
Ni kweli haya unayoyasema maana hata mimi nimeanza kuingia jf toka 2015 ila nimekuja kuwa mwanachama rasmi mwaka juzi 2024.Bado wako mafunzoni wanaohitimu na kufaulu ndio hujiunga
Hii siyo kweli mbona mimi niko TZ na ninaingia JF bila kutumia VPN?ukiwa tz kama huna VPN huingii jf kuperuzi hao ni wanatumia Vpn kuaccess jf ila hawa Log in
Uzi uishie hapa.Hao ni member wamelog out na kuamua kupita kimya kimya.
Mjadala ukiwavutia wana log in kuchangia.
inaonekana ni tabia yakoNilitaka kusema hivi.
Hata mimi nilitaka kusema ulivyo taka kusema wewe.Nilitaka kusema hivi.
Hukuwahi kuvutiwa na mada yoyote ukatamani kuchangia mawazo yako?Ni kweli haya unayoyasema maana hata mimi nimeanza kuingia jf toka 2015 ila nimekuja kuwa mwanachama rasmi mwaka juzi 2024.