mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Wanaogopa kujulikan
Hapo ni wapenzi watazamaji mkuu hata redio sio wote ni watangazaji wengine ni wasikilizaji tu wanacheck kinachoendelea ndio wanaona burudani hivyo yaan
Uwanja wa mpira unauelewa?Wanaogopa kujulikan
Hata mimi😄Hata mimi nilitaka kusema ulivyo taka kusema wewe.
🤣🤣🤣🤣Hata mimi nilitaka kusema ulivyo taka kusema wewe.
Ndio 🤣inaonekana ni tabia yako
Bado nilikua sina mapenzi sana na huu mtandao wakati huo maana ilikua inapita hata wiki mbili sijapita humu, ila siku hizi karibu kila siku naingia jf.Hukuwahi kuvutiwa na mada yoyote ukatamani kuchangia mawazo yako?
Hongera sana Mkuu,hujakosea kujiunga hukuBado nilikua sina mapenzi sana na huu mtandao wakati huo maana ilikua inapita hata wiki mbili sijapita humu, ila siku hizi karibu kila siku naingia jf.
Guest wengine ni sisi wenyewe kuna muda tunaview kama guest