Inasikitisha ingawa inaonekana ni stori ya kutungaAsilimia 20 ya watu huuawa bila hatia kabisa kwenye mob justice.
Unaweza kwa bahati mbaya ukawa unapita maeneo ambayo immediately uhalifu umefanyika, wanakukamata wakati unajieleza anajitokeza mtu huko hata hajui kilichoibiwa,kaibiwa nani na nani kaiba anachukua tofali na kumutwanga usoni.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kumuua mtoto wake asiye na hatia kwa kukuta watu wanampiga mtu, na yeye akachukua jiwe kumutwanga kichwani kilikuwa na kigiza kuja kuangalia ni mtoto wake mwenyewe
Duh!!,Watu wana roho ngumu sana,mimi siwezi.Niliona Iringa wakimgongelea kibaka msumari kichwani.
Wewe kweli ni binadamu Mtakatifu.Jitahidi uuishi huo Utakatifu kwa kutenda matendo mema,kusamehe wakosefu na kuwaombea kwa Mungu.Kitu kingine nikuwapa mitaji na elimu na usimamizi na kuwasamehe bure kama Mungu wetu anavyotusamehe kwa makosa na kutuepusha bila kujali unajinsi wetu
Hao watakuwa vibaka London na Cha pili sio vibaka wote wamekosa mitaji.Kitu kingine nikuwapa mitaji na elimu na usimamizi na kuwasamehe bure kama Mungu wetu anavyotusamehe kwa makosa na kutuepusha bila kujali unajinsi wetu
Nadhani lazima uyapress kwa nguvu vinginevyo kwa kuyamwagia sikioni yatageuka dawa ya sikio tu. πππKawaulize Watekelezaji.
Mimi sielewi inavyofanya kazi. Assistance pls.1# hiyo wanatumia sana raia wa kigamboni,unachekechwa
Ova
π€£π€£π€£Ya mafuta ya taa ipo mwake sana
Usisubiri ufafanuzi mbona mafuta ya taa yapo tu madukani, nunua kipimo kimoja kisha mwagia kila sikio kijiko kimoja kidogo cha chai, tembea hatua 20 kisha sikilizia, utapata jibu sahihi haraka.Kamanda hiyo namba mbili...naomba unifafanulie kidogo tafadhali
Miguu wanapigilia msumari kwenye kifundo kisha wanamwambia tembea, huyo ni mlemavu wa kudumuNiliona Iringa wakimgongelea kibaka msumari kichwani.
Mafuta ? Maji tu yakiingia sikioni hata tone moja ni kisanga mwili unapoteza balanceUsisubiri ufafanuzi mbona mafuta ya taa yapo tu madukani, nunua kipimo kimoja kisha mwagia kila sikio kijiko kimoja kidogo cha chai, tembea hatua 20 kisha sikilizia, utapata jibu sahihi haraka.
Nyumbani Kwao tukianza Kuona Maturubai ya Huzuni na Huruma yakiwekwa na Nyimbo za Pambio zikiimbwa
Yaan kibaka kaiba kwa CDF Jenerali MbomaNimeishuhudia Juzi na Kesho tunaenda Kumzika Mtu Makaburi yaliyo Mita chache na Makazi ya aliyekuwa CDF ( Mkuu wa Majeshi nchini ) Jenerali Mboma Mbezi Beach.
Tatizo la maji ni uzito wake, mafuta ni mepesi hayana shida.Mafuta ? Maji tu yakiingia sikioni hata tone moja ni kisanga mwili unapoteza balance
Kwanin ulete hapa vitu ambavyo huna uhakika navyo? aacha majibu ya hovyo.Story yoyote ikitangazwa kwa chombo chochote cha habari ukitaka kupata uhakika wake kawaida unamtafuta aliwasilisha.Kwahiyo nikileta Mada ndiyo automatically nami nakuwa Mtekelezaji wa Kuua huko Vibaka / Wezi kwa Kutukuka?