fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Inasikitisha ingawa inaonekana ni stori ya kutungaAsilimia 20 ya watu huuawa bila hatia kabisa kwenye mob justice.
Unaweza kwa bahati mbaya ukawa unapita maeneo ambayo immediately uhalifu umefanyika, wanakukamata wakati unajieleza anajitokeza mtu huko hata hajui kilichoibiwa,kaibiwa nani na nani kaiba anachukua tofali na kumutwanga usoni.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kumuua mtoto wake asiye na hatia kwa kukuta watu wanampiga mtu, na yeye akachukua jiwe kumutwanga kichwani kilikuwa na kigiza kuja kuangalia ni mtoto wake mwenyewe