Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hiyo namba moja nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, wazazi wanapofikiria kuachana kwa ufupi wanakuwa wamejifikiria wao wenyewe tu...ni ubinafsiKichomi na maumivu kwenye hili swala mtazamo wangu narudia wangu
1. Watoto kwenye ndoa za kubahatisha ndio watesekao... maana hubakia na mama au baba wakuja.
2. Wanawake, akishazalishwa, hapa wanne, halafu anapewa talaka makunyanzi usoni, matiti yamefubaa, miguu imeporomoka, macho yameleagea nk ..... thamani, heshima na ubora umeporomoka. Kinachofata nikujipeleke tu bora umeolewa, yaaani unajinyanyasa na kujinyanyapaa mwenyewe. Kwa wanawake wenyeuwezo wao, hugeuka waoaji kujibebea vijibwana vizurulaji mitaani kukidhi haja za ngono. Kila siku chache anafukuza nakuleta kengine.
Namba mbili, kwa hiyo unakubaliana kuwa mwanamke akishaota makunyanzi, matiti kulala anakuwa hafai tena? Basi huna tofauti na wao, tofauti yenu ni kwamba yeye anatoa talaka ila wewe hutatoa bali utamwacha mkeo ndani unaenda nje kutafuta dogodogo...na ndicho wanaume wengi mnachofanya, mnajifanya mna ndoa ya mke mmoja ambayo ni ya maisha yote ila vituko mnavyowafanyia wake zenu havielezeki. Watu mnabaki mnaishi ndani hamsalimiani hayo mahitaji ya ngono anawatimizia nani? Si bado mnatafuta vi slay queen na vimarioo kwaajili ya kukidhi haja zenu?
Sent using Jamii Forums mobile app