Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Hiyo Dini ya kuruhusu kuoa na kuachana ni Dini ya hovyo sana

Si ni bora hiyo ndoa isifungishwe.

Dini isiyoruhusu kuachana ni sawa na Jela na utumwa.

Kuna utumwa mwingi sana katika ndoa za kikristo. Mwanamke anataka kutoka hawezi na mwanaume anataka kutoka hawezi vinabaki vituko na amani kutoweka na mara zote ndoa za kikristo zinaleta aibu katika jamii.
 
Aibu hailetwi na ndoa ya kikristo tu, hata za kiislam zinaleta aibu kubwa tu kwenye jamii

Wasipoelewana wawili Mume na Mke lazima kutokee tatizo no matter ni wanandoa wa Dini zipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu hailetwi na ndoa ya kikristo tu, hata za kiislam zinaleta aibu kubwa tu kwenye jamii

Wasipoelewana wawili Mume na Mke lazima kutokee tatizo no matter ni wanandoa wa Dini zipi.

Ok twende mbali zaidi.

80 ya matukio ya wanaume au wanawake kuwachinja au kupapiga shoka wenza wao ni dini gani?

Ni katika Ndoa za kikristo.

Kuna hata wachungaji wengi wamewachinja wake zao ndani ya ndoa
 
Weka source ya data na verified research yako

Ukishindwa jihesabu wewe ni mpumbavu na mjinga zaidi ni mnafiki na mazushi.
 
Yaani ukimwandikia tu Mkeo Meseji ya simu maneno.
SIKUTAKI
SIKUTAKI
SIKUTAKI
Talaka tayari na sio mke na mume tena.
Kweli ndo hii ni very cheap

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wenzetu kijana anaoa hata ana miaka 20, 22 wala hana haja ya kumchunguza sana mchumba kwa sababu hana hofu ya kukosea, maana akikosea ana nafasi ya kurekebisa. Huku kwetu kulingana na jinsi dunia inavyokwenda vijana imefika mahali wanaogopa kuingia ndoani kwa sababu anajua akiingia ameingia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hujaona huko juu watu wanasema wanafikisha hadi vyuo nane[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kichomi na maumivu kwenye hili swala mtazamo wangu narudia wangu

1. Watoto kwenye ndoa za kubahatisha ndio watesekao... maana hubakia na mama au baba wakuja.

2. Wanawake, akishazalishwa, hapa wanne, halafu anapewa talaka makunyanzi usoni, matiti yamefubaa, miguu imeporomoka, macho yameleagea nk ..... thamani, heshima na ubora umeporomoka. Kinachofata nikujipeleke tu bora umeolewa, yaaani unajinyanyasa na kujinyanyapaa mwenyewe. Kwa wanawake wenyeuwezo wao, hugeuka waoaji kujibebea vijibwana vizurulaji mitaani kukidhi haja za ngono. Kila siku chache anafukuza nakuleta kengine.
 
Ok.

kuna ndoa za mashoga na mikataba na za jinsia moja katika ukristo huu huu ni kwa kitabu gani? ni hii hii biblia au kitabu kingine?.

Hii inaonesha kwamba waalimu wetu wa biblia kuna kitu hawaweki sawa katika mafundisho ya ndoa.
ukristo upi wenye hizo ndoa? mana kwa hapa tanzania sijawahi kuona wala kusikia kanisa linalofungisha ndoa za jinsia moja na wala kwenye biblia ambayo ndo muongozo wa kanisa hakuna ndoa ya jinsia moja tena imeandika kabisa ''OLE WAO WAFIRAJI NA WAFILWAJI MANA ZIWA LA MOTO LINAWASUBIRI'', sasa unaponiamba kwenye ukristo kuna hizo ndoa labda unipe mfano
 
Back
Top Bottom