Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Na jingine tuache kudanganyana kuwa mwanaume atakuwa na mkewe mmoja peke yake wanaume tulivyo umbwa ni kutamani tu na ndio maana mwenyezi mungu alie tuumba anatujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho. Mbona sijui stamina kafanya vinginevyo tofauti na haya uyasemayo. Ndoa ya kikristo inavunjwa panapo uzinzi, atayekwambia vinginevyo ni mwongo.

Ukiona hayo yanatokea na bado wanaishi nyumba moja ujue mke kagoma kuondoka anataka wagawane mali. Ndiyo maana yule jamaa wa kigamboni akaona isiwe tabu akamchukulia gunia mbili za mkaa na kumbanika.
 
Ndoa takatifu ni ipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kinacho wapa jeuri ya kufanya hivyo ni vile wanawake wenyewe wanawaokota kwa gharama ndogo hivyo anaona dezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda visiwani kuna watu wana vyuo mpaka 6. Halafu ana miaka 25 tu..
Msichana akikuambia nina vyuo vitatu ujue kaolewa na kuachika mara 3.
Nadhani hujamuelewa,hajasema kwamba waislam hawaachani
 
Na wengi hujisifia kuolewa Mara nyingi kuwa Ni sifa kuwa yeye soko lake liko juu.Vyuo vikiwa vingi Ni sifa kwa wanawake wenzie kuwa usimuone yule kiboko yule sasa hivi chuo Cha nane
Nadhani ungempinga mleta bandiko kwa hoja sio kwa vioja kama hivi
 
Mkuu jirani yangu nyumba zinatizamana mwaka watatu mwananake ana fanya yake mwanaume nae yake baba anatoka na gari yake na Mama hivyohivyo hakuna raha ya Ndoa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana ya Dini, unatakiwa uishinde hiyo changamoto.

Dini ya Kiislam inanyanyasa sana Wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allah anatupenda sote

Waislam ndio vinara wa NDOA za jinsia moja kwasasa

Nitakuwekea na majina ya Maimamu waliojitangaza rasmi kuwa ni mashoga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…