KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mi wenyewe nimefunga novena ili hao watekaji waje kwangu hata kama wana kikosi kipana, nitawawashia mota kama watajiuliza iwapo wamepanuka mbele, nyuma, au pembeni.Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Mkuu huyu wa kwenye picha alishawahi kukushikia bunduki?Kwanza nikuulize swali ndugu mtoa mada.....
Ulishawahi kukabiliana na bunduki au mguu wa kulu ukielekezewa kwako.... huku aliyeshika kidole kaweka kwenye trigger........?
View attachment 3151248
Kabisa ila hautaki kuwa mudu wote, ww unacheza na mmoja au wawil wa mwanzo tuMkorea mwanetu wa The Gunners wazee wa phase 4,,, oya hao jamaa wanakuwa na vimiguu vya kuku,, inabidi uwawahi umpige kata funua akose hata nguvu ya kumeza mate.
HapanaMkuu huyu wa kwenye picha alishawahi kukushikia bunduki?
🤣🤣Usiombe wanaweza kukuvizia ndio umetoka kupiga vismart kama Saba hivi unayumba tu
na unaishi vijibweni sio kwamba hatukufahamu rahasha....Tabia yako yakukuta watu wamekaa sehemu unaanza kutuliza kwanjia ya macho kama sisi wamagogoni wezako ukomeTunazingatia na aina ya mtu,usifikiri bahati aliyopata Deo bonge na wewe itakua hivyo hivyo, nitakuja mimi muuza madafu wa ferry utaniweza.
Ukishikiwa chuma..maegeri kekomi..ura nzuki..boley kick..gubi Yuji .nute nzuki utazisahauHahaha nimefurahi sana. Yani mimi lazima niitendee haki black belt yangu imekaa kizembe tu kabatini.
Umecheza mchezo gani kwa hizo beltMimi pia natamani maana Niko hapa nimefuzu mikanda yote ila napendelea kuvaa black na red kwa pamoja napiga ashiruuu moja tu ya taya nimeua hiyo siku jiji litasimama kwa saa likinicheki ninavyogawa kichapo wastani kwa idadi..
SimpleKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Hiyo picha ni ya Baba yangu.Hapana
Karate na JudoUmecheza mchezo gani kwa hizo belt
Wale sio wazee wa kazi wewe. Wakiwa wenyewe unakaa tuKila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate.
Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha.
Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma.
View attachment 3151179
little master Fake P Chaliifrancisco
Nyau de adriz