edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
sasa dawa ni kuokoka walokole bwana mnamaneno ya kashfa sanaMke Na watoto wote? You are selfish and useless being, utaishia maisha ya huzuni Sana labdauokoke haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa dawa ni kuokoka walokole bwana mnamaneno ya kashfa sanaMke Na watoto wote? You are selfish and useless being, utaishia maisha ya huzuni Sana labdauokoke haswa
sasa dawa ni kuokoka walokole bwana mnamaneno ya kashfa sana
Michepuko ni hasara kubwa na ni mabomu yanayosubiri muda yalipuke ni vile wenzangu hamjuagi, fanyeni mambo kwa kiasi, msiwatese wake zenuNaumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”
Niliisoma na ulipoona siijibu ulipiga simu, natamani hata ningepokea mimi na kusikia sauti yako kwa mara ya mwisho lakini nilimpa mwanamke mwingine akapokea.
Sijui kama ulijua lakini ulimuambia aniambie kwa heri. Nikijua ni vile vitisho vyako vya kila siku kuwa utaondoka nilipuuza na kuamua kulala huko huko mpaka saa sita usiku rafiki yangu mmoja alipokuja kunigongea usiku.
Nilizima simu na hakuna mtu aliyekua akijua nilipokua kasoro yeye hivyo alitafutwa na kuja kunipa taraifa, alikuja na kugonga kisha kuniambia tuondoke, hata hakunionea huruma aliniambia kuwa “Mke wako hayuko tena, amefariki!”
Niliishiwa nguvu sijui nini cha kufanya, nilirudi nyumbani na kuwakuta wenetu wadogo wakilia hawajui wanalia nini lakini walilia kwakua wanaona watu wengine wanalia.
Waliniona badala ya kunikumbatia walikua wananikwepa, walikua wanaogopa kwakua Mama yao hayupo tena. Mimi ni kama mgeni kwao, hawanijui na mimi siwajui. Mke wangu baada ya mazishi watu wote wameondoka.
Nimebaki mimi nawatoto tu, ndugu zangu wote wamerudi kuendelea na familia zao, michepuko yangu nayo hata hainitafuti tena, wale wanawake wote waliokua wanakupigia simu kukutukana hawanipigii tena simu.
Binti wa kazi uliyemuacha ameondoka siku mbili tu baada ya mazishi. Nakumbuka mara ya mwisho niliyokupiga nilikuambia kama umechoka ondoka uniachie wanangu.
Naona umechoka kweli umeondoka na kuniachia wanangu lakini sasa sijui hata niwapeleke wapi? Kila siku wanamuulizia mama, naumia zaidi kwani mimi wananiogopa, wananiangalia kama shetani wananiona kama natisha, hii ni kwasababu sikuwahi kuwa Baba yao, siku zote nilikua bize na starehe.
Nakukumbuka sana mke wangu ni miezi miwili tu tangu uondoke lakini naona kama miaka mia, kweli nilikukosea natamani hata urudi kwa dakika tano tu ili niwe mume wako nikuonyeshe namna ninavyojutia.
Ahsante mkuuPole Sana Mkuu Walee Watoto Kama Ambavyo Mkeo Alitamani Kuwa.
Mama anakuwaje na makosa wakati Mme hajampa kosa lolote zaidi ya kujilamu mwenyewe?Naomba iwe tungo tu isiwe ni halisia, maana imeleta hisia za kuumiza zaidi na kutafakarisha sana
Lakini hata kama ilikua ni kisa cha kweli, pamoja na kua maisha yetu kuja na kuondoka sio kwa kutaka kwetu bali aliye juu yetu.
Lakini huyo mama atakua amekosea mno kwa sababu ya hao watoto, mume ni bora lakini watoto ni bora zaidi kwa sababu wanamhitajia mno, yeye atakua labda ameona heri apumzike, lakini pumziko lake halitakuwa pumziko jema kwa sababu ya maumivu na mahangaiko wanayopitia wale watoto.
Kuna namna mtu anatoka duniani kila mtu anasema heri akapumzike, hapo kweli utapumzika kwa amani.
Lakini kwa hii situation ya huyu mama pumziko lake halitakuwa la amani.
Mhhh!Kwani alikuwa anaumwa? Maana mwanaume kuchepuka haimfanyi mwanamke kufa, kama kajiua ametenda dhambi kubwa, kwani alizaliwa na wewe mpaka aone hafai kuishi? Nyoooolo hii ni tungo kama tungo zingine
Mkuu hii ni movie ya kinigeria au?
Dah, mbona umenitisha hivi? Hope ni fiction tu... tuache utani Kuna nyakati wanaume tunakengeuka. Mungu tusaidieNaumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”
Niliisoma na ulipoona siijibu ulipiga simu, natamani hata ningepokea mimi na kusikia sauti yako kwa mara ya mwisho lakini nilimpa mwanamke mwingine akapokea.
Sijui kama ulijua lakini ulimuambia aniambie kwa heri. Nikijua ni vile vitisho vyako vya kila siku kuwa utaondoka nilipuuza na kuamua kulala huko huko mpaka saa sita usiku rafiki yangu mmoja alipokuja kunigongea usiku.
Nilizima simu na hakuna mtu aliyekua akijua nilipokua kasoro yeye hivyo alitafutwa na kuja kunipa taraifa, alikuja na kugonga kisha kuniambia tuondoke, hata hakunionea huruma aliniambia kuwa “Mke wako hayuko tena, amefariki!”
Niliishiwa nguvu sijui nini cha kufanya, nilirudi nyumbani na kuwakuta wenetu wadogo wakilia hawajui wanalia nini lakini walilia kwakua wanaona watu wengine wanalia.
Waliniona badala ya kunikumbatia walikua wananikwepa, walikua wanaogopa kwakua Mama yao hayupo tena. Mimi ni kama mgeni kwao, hawanijui na mimi siwajui. Mke wangu baada ya mazishi watu wote wameondoka.
Nimebaki mimi nawatoto tu, ndugu zangu wote wamerudi kuendelea na familia zao, michepuko yangu nayo hata hainitafuti tena, wale wanawake wote waliokua wanakupigia simu kukutukana hawanipigii tena simu.
Binti wa kazi uliyemuacha ameondoka siku mbili tu baada ya mazishi. Nakumbuka mara ya mwisho niliyokupiga nilikuambia kama umechoka ondoka uniachie wanangu.
Naona umechoka kweli umeondoka na kuniachia wanangu lakini sasa sijui hata niwapeleke wapi? Kila siku wanamuulizia mama, naumia zaidi kwani mimi wananiogopa, wananiangalia kama shetani wananiona kama natisha, hii ni kwasababu sikuwahi kuwa Baba yao, siku zote nilikua bize na starehe.
Nakukumbuka sana mke wangu ni miezi miwili tu tangu uondoke lakini naona kama miaka mia, kweli nilikukosea natamani hata urudi kwa dakika tano tu ili niwe mume wako nikuonyeshe namna ninavyojutia.
Mungu atusaidie aiseeDah, mbona umenitisha hivi? Hope ni fiction tu... tuache utani Kuna nyakati wanaume tunakengeuka. Mungu tusaidie
Mkuu,kuna kujisahau.yanapokukuta ndo unaona ulipokuwa unakosea.Kama hii story ni yako Na Ni kweli Wewe Ni kenge Kwenda zako Na huna maana dunian!
Kwani kajiua...huenda alikua mgonjwa na mume hakujua na ht alipoambiwa hakujaliNaomba iwe tungo tu isiwe ni halisia, maana imeleta hisia za kuumiza zaidi na kutafakarisha sana
Lakini hata kama ilikua ni kisa cha kweli, pamoja na kua maisha yetu kuja na kuondoka sio kwa kutaka kwetu bali aliye juu yetu.
Lakini huyo mama atakua amekosea mno kwa sababu ya hao watoto, mume ni bora lakini watoto ni bora zaidi kwa sababu wanamhitajia mno, yeye atakua labda ameona heri apumzike, lakini pumziko lake halitakuwa pumziko jema kwa sababu ya maumivu na mahangaiko wanayopitia wale watoto.
Kuna namna mtu anatoka duniani kila mtu anasema heri akapumzike, hapo kweli utapumzika kwa amani.
Lakini kwa hii situation ya huyu mama pumziko lake halitakuwa la amani.
Eeeeeh kumbee[emoji2]Sawa babu tale, msalimie sana Zanana juice![emoji28]