Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

Michepuko ni hasara kubwa na ni mabomu yanayosubiri muda yalipuke ni vile wenzangu hamjuagi, fanyeni mambo kwa kiasi, msiwatese wake zenu
 
Mama anakuwaje na makosa wakati Mme hajampa kosa lolote zaidi ya kujilamu mwenyewe?
 
Kwani alikuwa anaumwa? Maana mwanaume kuchepuka haimfanyi mwanamke kufa, kama kajiua ametenda dhambi kubwa, kwani alizaliwa na wewe mpaka aone hafai kuishi? Nyoooolo hii ni tungo kama tungo zingine
 
Dah, mbona umenitisha hivi? Hope ni fiction tu... tuache utani Kuna nyakati wanaume tunakengeuka. Mungu tusaidie
 
Kwani kajiua...huenda alikua mgonjwa na mume hakujua na ht alipoambiwa hakujali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…