Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

Point of no return,pole,dhambi mbaya sana mkuu,ndio maana Mungu alikataza,unaweza kuona unafaidi wakati unaifanya kumbe tayari shetani anachekela kashakuingiza kwenye mtego ambao yeye anajua iko siku utanaswa na huwezi tena kureverse the situation...
 
Michepuko inakupenda ukiwa na msingi imara wa akupendaye. ngoja atoweke nayo hutoweka yote.
 
Afu
Haya mambo ya kuwa deep kwenye virus vy mzaha siyo mazuri. Siku mkifikwa tutaassume ni mzaha mzaha
 
Kuna wanaume wenzetu ni wakatili sana kwa wake zao na wamebahatika kupata wanawake wanyenyekevu na watiifu yaani akiongea nae hata kwenye simu ni vitisho na kauli ngumu ngumu,mtu anahela vizuri tu lakini mwanamke kachakaa anatia huruma ni full kutishiwa daa sio poa kabisa kama umeamua kuishi nae mjali huyo aliye naye hiyo michepuko ukipata shida yoyote mkeo ndio atayekuhangaikia sio mchepuko.
 
Dah me ndo namkosea wife wangu kila siku analia kwa ajili yangu
Ernhe Mungu nisaidie unirudishie akili zangu nimpende na kumjali mke wangu
Mchepuko sijui umeniroga yaan naona kabisa nakosea but kila nikitaka kumuacha na kubadilika nashindwa[emoji24][emoji24]
 
 
Jipige kifuani sema mimi ni msenge
 
Huyo ndio unadhani ataelewa kwa hizi tungo, huyo ni kama kenge, kusikia kwake, mpaka damu itoke masikioni. 😂

Labda yake nayo iwe fiction kama hii, ila kama ni kweli, hapa tunapigia mbuzi gitaa. 😂
Sometimes anatuongezea chumvi ili tupate ladha sidhani km ni bwege kiasi kile,,,😂😂😂ngoja aje
 
Hadithi ya huzuni sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Na hayo ndio maisha ya wanandoa wengi, wanaume wengi huwachukulia wake zao for granted sana.
Kuna boya nae last month mkewe kaondoka ghafla kwa ajali, analia tu hata hajui pa kuanzia wakati mkewe alivyokuwa hai alimnyanyasa mnooo na michepuko isoisha.
 
Umeelezea kama unajua chanzo cha kifo!! Au ndio fasihi kila mmoja na tafsiri yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…