Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

Tunabishana Yanga Simba kuanzia asubuhi hadi tunapoenda kulala halafu mara muamala umesoma😁😂
 
Bora ya wakoloni sahivi tunauana sisi kwa sisi
 
Malipo ndo hayo beberu kawafumbua macho na maendeleo ya sayansi na teknolojia na ule ustaarabu na usomi wa kibeberu, huenda hadi leo tungekuwa kwenye maisha ya ujima au kwenda mbele kwa kujikongoja sana. Cha msingi hii dunia kila jamii ya watu wana vipawa tofauti tofauti kwa hiyo tunategemeana kwa kiasi kikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…