Natangaza ndoa

Natangaza ndoa

wana jf natangaza ndoa
mwenye pingamizi aweza litoa
ndani ya saa 24 kuanzia sasa
na kama pingamizi hakuna
basi ndoa itakuwa imehalalishwa
na ujue kuwahi sio kupata
na naomba pingamizi lisiwe na jazba
kwani kaumbwa na mola
akampa urembo,utashi na hekima
kwa sababu yake siwezi hata kulala
avatar29954_16.gif
avatar29954_16.gif
images

Mkuu unakesha ukiwa umekaa au kusimama? unampenda kweli.
 
Mbona umeweka picha ya mke wangu?
Hilo ni pingamizi la kwanza na huo ni
ujambawazi kutaka ninyang'anya mwandani wangu

That is the love of my life
 
swali la mwisho kwa IVUGA.....................je ule uteja wa mambo ya kikubwa utaacha maana sasa utakuwa na jiko lako????????????????
 
PHP:
Hahahh Ivuga si nitakuwa narekebisha mambo ya honeymoon lol[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20465.gif[/IMG][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20465.gif[/IMG][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20465.gif[/IMG][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%20465.gif[/IMG]

Mimi ninataka IVUGA anihakikishie kuwa isije Bibi Harusi ni Maria Roza....................................
 
Husn huo mchango baki nao kwnza, manake hii ndoa inaweza ikaahrishwa mda wowte kuanzia sshv. C umeona mapngamiz yalvyojitokeza???

hili lindoa bora liwe la mkeka.
Ivuga apange fumanizi watu tule mpunga wa fastafasta.
Maandalizi hatoyaweza.
 

..................Tutabanana hapa hapa

Na naweka pingamizi hadi kwa Mods kuanzia sasa Ivuga apigwe ban mpaka baada ya masaa 24......

Ukirudi Speaker huyoooooooooooooooo..........kinachobakia ni kubanana tu
 
swali la mwisho kwa IVUGA.....................je ule uteja wa mambo ya kikubwa utaacha maana sasa utakuwa na jiko lako????????????????
kula nishaacha zamani sana, na siwezi rudi tena kule
PHP:
Mimi ninataka IVUGA anihakikishie kuwa isije Bibi Harusi ni Maria Roza....................................[/QUOTE]

[FONT=Garamond][SIZE=4]yuko hapa atajibu mwenyewe[/SIZE][/FONT]
 

..................Tutabanana hapa hapa

Na naweka pingamizi hadi kwa Mods kuanzia sasa Ivuga apigwe ban mpaka baada ya masaa 24......

Ukirudi Speaker huyoooooooooooooooo..........kinachobakia ni kubanana tu

sio haki mzee
 
Mbona umeweka picha ya mke wangu?
Hilo ni pingamizi la kwanza na huo ni
ujambawazi kutaka ninyang'anya mwandani wangu

That is the love of my life

hahaha Afrodenz kumbe ushaolewa ..Ivuga katokea wapI?
 
Back
Top Bottom