Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
wana jf natangaza ndoa
mwenye pingamizi aweza litoa
ndani ya saa 24 kuanzia sasa
na kama pingamizi hakuna
basi ndoa itakuwa imehalalishwa
na ujue kuwahi sio kupata
na naomba pingamizi lisiwe na jazba
kwani kaumbwa na mola
akampa urembo,utashi na hekima
kwa sababu yake siwezi hata kulala
![]()
![]()
![]()
Mkuu unakesha ukiwa umekaa au kusimama? unampenda kweli.